Ameita waandishi wa habari eti anasema huu siyo uchaguzi ni uharamia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa hiyo serikali na wananchi wake waliandaa uharamia siyo uchaguzi...huyu jamaa anadharau sana yani.

Eti anaomba jumuiya za kimataifa na za kikanda kama EAC na SADC ziingilie kati.. Anadhani kwamba hizi jumuiya ndiyo waamuzi wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania eti eee..

Aende The Huge...maana akiwa Tunduma pale kwenye kampeni zake alijaza uwanja sana akaanzaa kumtukana Rais na Majenerali wa Jeshi kuwa wakicheza na uchaguzi huu wataishia The Huge... Aende sasa tuone kama watakuja kuitoa serikali iliyowekwa na watanzania Madarakani.

Kujua sana kwako sheria kusikufanye uwadharau Watanzania...si umeona sasa walichokufanyia kwenye Box la Kura...
 
... Huu uchaguzi ulikuwa ni ushindani kati ya Chadema na dola.

Ccm kwa sasa imemezwa na serikali (dola) hivyo huwezi kuvitenganisha tena.
 
Mgombea wa CCM alibebwa na rekodi yake

Mgombea wa Chadema hakuwa na cha kuonesha zaidi ya maneno matupu.
 
Baseless allegations. Watanzania tumeamua
 
Amewaambia watanzania sababu wamedhulumiwa waingie barabarani kwa maandamano kudai haki zao na yeye ameshaongea na amstadamu wake amsadie kuwasilisha malalamiko ICC

Binafsi ninampongeza Tundu kwa kushiriki uchaguzi
Amedhurumiwaje sasa,mbona ajaeleza?
watanzania wamemtia adabu huyu kibaraka,tena na bado anazidi kujikuwadisha sijui kwa U.N,U.S,comonwelth yani ndo anazidi kujiaribia kwa watanzania.
 
Mgombea wa CCM alibebwa na rekodi yake

Mgombea wa Chadema hakuwa na cha kuonesha zaidi ya maneno matupu.
Mwenzie alikuwa ananadi sera,yeye akawa anawasimulia watanzania story za ubelgiji.
 
Ili CHADEMA ifufuke Lissu apewe uenyekiti anafaa kwa amsha amsha na ukamanda alionao
Yeye na Heche huyu Mbowe tayari gari lishafika mwisho mwisho
Yani tokea awekewe Sabaya pale kakimbizwa kimbizwa kipindi chote na Jimbo kaliacha sasa
Waje huku Wafanye harakati za kweli sio kupinga pinga kosoa kosoa tu hata vitu vya msingi
 
Kwenye maandamano na yeye atakiwepo???

Anyway..kuna wakati mtu unapata hasira had unataman kungekuwa na vikundi vya kigaidi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yeye ataandamania Brusels kule Belgium alafu Mange Kimambi anaandamania kule Carlifonia, USA.
Alafu nyie Wabongo mnaaandamania hapa ili mpigwe mfe πŸ˜‚
Ila any way pole mkuu inaonesha unaumia sana ila Usiombee ugaidi mkuu huko siyo poa 😎
 

Nyerere amewahi kupinduliwa ?
Lini mbona aliondoka madarakani kiamani kabisa πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…