Walaumu waliokunyima elimu ya kujua historia ya nchi yako!! Anyway jifunge shanga vizuri, ukashangilie ushindi wa chama chao vizuri!! Ukawashangilie watoto wa Pinda, Lowasa, Kikwete, Makamba, walioshinda ubunge na mtoto wa Mwinyi aliepewa Urais uko Zanzibar!! Ukimaliza kushangilia wakupe pombe ulewe ujifariji!!!Nyerere amewahi kupinduliwa ?
Lini mbona aliondoka madarakani kiamani kabisa [emoji848][emoji848][emoji848]
Pole sana kwa hilo tusi. Watu wana hasira jitahidi zisikushukie.Ahsante,Hasira hupunguzwa kwa matusi na makofi,nalipokea ilimradi siumii🤗.
Yalopita yamepitaa.
Mkumbusheni tu lissu kuwa kwa Muda alioishi ulaya alijisahau kuhusu unafiki wa wabongo hivyo akajikuta anaamini upambe wa kwenye mikutano ndo uhalisia.Wakuu habari,
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza na waandishi wa habari muda huu.
Hiki ndicho anachokisema (Updates)
-Wagombea ubunge wa chama chetu walikatwa, hii ni ishara moja kuwa uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa na dosari
-Tumefanya kampeni nyigi kuliko zile za mgombea wa Chama cha Mapinduzi
-Msafara wangu wa Kampeni za urais ulikuwa na magari sita tu, magari mawili ya waandishi wa habari, na magari mengine manne, yakiwamo mawili ya walinzi
-Watanzania walitupokea kwa upendo mkubwa, walitupa maji, chakula mafuta
Hata me naona, iko siku Tanzania itakuwa zaidi ya SomaliaWafuasi wa upinzani hamna ujasiri wa kufanya chochote
Wacha aanike uchafu wao.
Pia mwenye akili timamu hawezi kuwa alikuwa amekaa akisubiri matokeo huku akifikiri kuwa matokeo yaweza kuwa tofauti na haya,chaguzi zote hizo matokeo ya urais huwa yanajulikana hayabadiliki na tatizo linajulikana na hata uchaguzi huu hilo tatizo bado lipo halikutatuliwa ila ajabu watu walikuwa wanajipa matumaini hali ya kuwa hawajatatua tatizo.Hakuna mwenye mtu mwenye akili timamu anayeweza kukubaliana na matokeo haya ya kihuni. New way foward is needed ASAP.
Tarime Mjini ni KIJANITarime mjini vp na Bunda
Hakuna kitu kama hicho! Hao watu huku hawapo tuna mang'ombe tu.Watanzania bara muda wa kuamka tena ushafika.... piganieni haki zenu. Wa Zanzibari tulishayaanza haya tangu nyuma na mpaka leo hii mapambano yanaendelea. Tatawaonyesha haki inapiganiwa namna gani. Watatuuwa na kutumaliza lakini hatutatachukua hata hatua moja kurudi nyuma. Together we stand strong!!! Get up, stand up for your right!!!
Upuuzi mtupu. Imekula kwenu.Akiongea na vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje, Tundu Lissu ambaye ni mgombea urais kupitia CHADEMA amesema kutokana na ukiukwaji mwingi wa sheria na kanuni za uchaguzi hayatambui matokeo hayo na amewataka wananchi kujiandaa kuchukua hatua zozote zile ikiwemo kuandamana kudai haki yao.
Amezitaka jumuia za kimataifa AU, UN, Commonwealth, EU, nchi za Marekani na Ulaya, marafiki, nchi jirani na watu mbalimbali kutoyatambua matokeo hayo.
Amezitaka jumuia za kimataifa kuwachukulia hatua wote waliohusika na kuvurugika kwa uchaguzi wakiwemo viongozi wa NEC, viongozi wa vyombo vya dola wao binafsi na taasisi zao.
Amedhurumiwaje sasa,mbona ajaeleza?
watanzania wamemtia adabu huyu kibaraka,tena na bado anazidi kujikuwadisha sijui kwa U.N,U.S,comonwelth yani ndo anazidi kujiaribia kwa watanzania.
Umechomoa sehemu ya sentensi ukapaa nayo hewani kizwazwa kujustify ignorance yako. Rudia kuisoma sentensi nzima ili next time uwe makini ni jukwaa la watu wazima hili.Lissu bwana ati walituma chakula na mafuta kweli ndo ya kuongea?