well said bro;

sasa hivi wanatafuta visababu vya kushindwa, mara eti kulikuwa na kura feki. Yaani wanataka kutuambia kuwa box la kura ni kama pipa lisliokuwa na mfuniko ambamo mtu anafungua begi na kumwaga kura 15,000 wakati kuna foleni ya wapiga kura? mambo ya utoto sana.
 
Kata mimi nimeongea hapa kuwa upinzani waache malalamishi ya kitoto. Wao walikuw wanakesha kwenye mitandano na kudghani kuwa hiyo ndiyo njia ya kujenga grasroot ya wapiga kura. Niliwahi kuwaambia kuwa utamu wa ndoto huisha asubuhi, na sasa ndiyo kumekucha wanagundua utamu ilikuwa ni ndoto tu. Tena mwaka huu iwapo bunge litakuwa na wapinzani zaidi ya 10 itakuwa ni bahati sana.
 
Unajua shida moja kuu ya wapinzani.? Hawana strategy. Kisiasa wako vizuri.. lakin wanarudi kosa lile lile.. mbinu za ushindi ni 0.
Hapa wasimtafute mchawi
 
hahahaha sawa bakhressa , sjakuon kwemy list ya matajir bongo..sa sijui unautajir gani wakutamba... unaeza kuta unatembeza kuku road tuh... nenda shule alaf ukimalza njoo tubishane
 
hahahaha sawa bakhressa , sjakuon kwemy list ya matajir bongo..sa sijui unautajir gani wakutamba... unaeza kuta unatembeza kuku road tuh... nenda shule alaf ukimalza njoo tubishane
Hehehe endelea na dharau, sijafika level za Bakhressa na labda sitoweza kufika ila siwezi kata tamaa. Uhakika wa kua kwenye top 0.1% ya watanzania ninao 100%, haihitaji hata hela nyingi kua kwenye top 0.1 bongo, mtu yeyote akiingiza hata at least 1m daily tayari anakuwemo.

Mtasema tumetumwa na mabeberu kama kawaida yenu. Pole sana sipo level yako kabisa. Ila nikutakie wewe na watanzania wengine all the best maana mwisho wa siku napenda kuona Tanzania inafanikiwa iwe chini ya jiwe au chini ya mtu mwingine.
 
Ndio. Wote tunajua kuwa wameiba.
Sasa ndio utoke nyumbani uingie barabarani kwani rais wetu TL amesema yeye ameshamaliza kwa upande wake, bado sisi kudai haki zetu.
Huwa mnajifanya mnajua sana na kujiona watemi, mara hooo tutaona mwaka huu, hatukubari, tutauana. Nyoko, nyie mje sasa ili tuigawe nchi.
 

Kama hujafka level za Bakhressa bas usiite mtu maskini.. kama unaingiza milioni kwa siku mwezi usijione Bill Gates kwamba unaeza muajiri mtu yeyote unaechatt nae...at the first point you are the one ulioanzisha dharau .. naona unajiuma uma tuh mara mabeberu mara milioni mara juu ya mawe.. acha nikae kimya nisije onekana mjinga mie..maan watu wanaingiza M wanajiona maguru..* eti njoo nikupe ajira upate hela ya kula[emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kwa sauti*
 
Huko kwenye uchaguzi sipo sikutegemea tofauti! nina shock na inavyochukiwa , anavyochukiwa na wanavyochukiwa.
Japo wapo watakaodai ushindi ni ushindi tu, kwangu uchaguzi huu umeivua nguo, umemvua nguo na umewavua nguo.

Japo wapo watakaolaumu upinzani kushiriki, kwangu ushiriki wa Upinzani ulikuwa ni lazima ili kuthibitisha ukweli wa madai yao.

Japo wapo watakaosherehekea aina hii ya ushindi, kwangu naamini wengi nafsi zao zinawasuta na hawaamini walichokishuhudia.

Japo wapo watakaokata tamaa na kutoona tena umuhimu wa uchaguzi, tuliyoyashuhudia safari hii ni dalili ya utawala uliokata tamaa.

Japo wapo watakaopoteza matumaini, napata faraja kwamba matokeo kama haya yatazidisha na kuimarisha hamasa katika mapambano.

Magufuli ataingia kwenye vitabu vya historia kama kiongozi aliyewazindua Watanzania wadai upya nchi yao kutoka kwa wakoloni mamboleo, CCM.
 
Ahaaa.lakini hizo kura feki si zinaonekanaaa[emoji16][emoji16][emoji16].
Sawaaa mnasema mmeshinda lakini kura feki za niniiiii

Na mimi niliuliza zilitoka wapi? Lengo lake lilikua CCM washinde uchaguzi au CHADEMA wazue taharuki? Na kwanini walizichoma moto harakaharaka? Kwa kweli sikupata jibu
 
Mbona zipo nyingine za kumwaga.tena zipo kwenye malori kabisa.
Tatizo NEC WANAKATAA hapa ndipo ninaposhangaa
Na mimi niliuliza zilitoka wapi? Lengo lake lilikua CCM washinde uchaguzi au CHADEMA wazue taharuki? Na kwanini walizichoma moto harakaharaka? Kwa kweli sikupata jibu
 
Mbowe, heche, zito, lema, prof jay, sugu,matiko,bulaya,msigwa,mdee,
Wanarudi mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…