Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
well said bro;Feelings are not facts, ni muhimu kulitambua hilo, hao wananchi mnaowasemea kila siku kwamba ,,wana chuki na Raisi Magufuli‘‘ wako wapi? Mbona hatuwaoni popote si Mitaani si kwenye kura, si kwenye Daladala si kwenye Familia, sasa wako wapi?
Najua mna chuki na hasira kushindwa lkn unafikiri ninyi hamna kosa hata kidogo kwenye kushindwa kwenu?
Tundu lisu kaleta Muzungu kamtambulisha kwetu na Muzungu anamtisha Raisi JMTZ unafikiri sisi tutakubali?
Hivyo usiache feelings zako kugeuka kuwa facts, ni kweli mna machungu lkn ndio maisha hayo, ...
sasa hivi wanatafuta visababu vya kushindwa, mara eti kulikuwa na kura feki. Yaani wanataka kutuambia kuwa box la kura ni kama pipa lisliokuwa na mfuniko ambamo mtu anafungua begi na kumwaga kura 15,000 wakati kuna foleni ya wapiga kura? mambo ya utoto sana.