Kumepambazuka sasa ndoto imeisha, hadi sasa upinzani wana mbunge mmoja tuu wa CUF.Kata mimi nimeongea hapa kuwa upinzani waache malalamishi ya kitoto. Wao walikuw wanakesha kwenye mitandano na kudghani kuwa hiyo ndiyo njia ya kujenga grasroot ya wapiga kura. Niliwahi kuwaambia kuwa utamu wa ndoto huisha asubuhi, na sasa ndiyo kumekucha wanagundua utamu ilikuwa ni ndoto tu. Tena mwaka huu iwapo bunge litakuwa na wapinzani zaidi ya 10 itakuwa ni bahati sana.
Mbowe, heche, zito, lema, prof jay, sugu,matiko,bulaya,msigwa,mdee,
Wanarudi mtaani
ila maisha yako na yao ni tofautiMbowe, heche, zito, lema, prof jay, sugu,matiko,bulaya,msigwa,mdee,
Wanarudi mtaani
hakuna sapoti ya wananchi, waoga.Sasa Viongozi wanakaa ndani tu badala waanzishe maandamano watoke nje wanatweet tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poor you! Typically Bongomindset! Sir, hapa hatushabikii! Hapa tunazungumzia mustakabadhi wa nchi kwa hoja za nguvu. Wewe unaleta ule ushabiki wa kibongo bongo wa Simba na Yanga ambao watu wanabishana kama makasuku bila kutumia hoja.Kosa langu hapo n upi.? Kwan ww unavoshabikia upinzani nmekutukana.?
Mbona zipo nyingine za kumwaga.tena zipo kwenye malori kabisa.
Tatizo NEC WANAKATAA hapa ndipo ninaposhangaa
Ccm hawanaga hesabu kabisa.we unfurahi,utafurahishwa subiri labda msirudishe mrandao milele.Kumepambazuka sasa ndoto imeisha, hadi sasa upinzani wana mbunge mmoja tuu wa CUF.
Tunawakaribisha walioshiriki wakakosa waje tukae tuwakilishwe na waliopata
Maendeleo hayana vyama
Wacha tusubiri hiyo furahaCcm hawanaga hesabu kabisa.we unfurahi,utafurahishwa subiri labda msirudishe mrandao milele.
We mwizi tu, mali ya wizi iyoNdio. Wote tunajua kuwa wameiba.
Sasa ndio utoke nyumbani uingie barabarani kwani rais wetu TL amesema yeye ameshamaliza kwa upande wake, bado sisi kudai haki zetu.
Huwa mnajifanya mnajua sana na kujiona watemi, mara hooo tutaona mwaka huu, hatukubari, tutauana. Nyoko, nyie mje sasa ili tuigawe nchi.
Kwa hyo mmeiba kura mkitegemea wapinzani wakinukishe?
Acha kuongea maneno mengi ambayo n pointless, kama tutarudi nyuma mbona wakat wa kampeni mlimdanganya huyo mwenzenu kwa umati mkubwa na wakat wa kura mmemkimbia?Poor you! Typically Bongomindset! Sir, hapa hatushabikii! Hapa tunazungumzia mustakabadhi wa nchi kwa hoja za nguvu. Wewe unaleta ule ushabiki wa kibongo bongo wa Simba na Yanga ambao watu wanabishana kama makasuku bila kutumia hoja. Kwa kifupi hapa watu wanaoona mbali na kuitakia nchi yetu mema wanaona tunarudi nyuma kwani mihimili yote ya serikali imebakwa na Magufuli kitu ambacho siyo kizuri kwa maendeleo ya nchi. Upo?
Vipi mmekinukisha?
Nakuambia wewe ni idiot. Na mbaya zaidi unaonyesha u-idiot wako kwa kutumia ID halisi.Acha kuongea maneno mengi ambayo n pointless, kama tutarudi nyuma mbona wakat wa kampeni mlimdanganya huyo mwenzenu kwa umati mkubwa na wakat wa kura mmemkimbia.?
Acha kujifanya ww pekee ndio unauchungu na kitu ambacho waliokuwa na uwezo wa kukipata wapo makwao wametulia muda huu wakiwa wameshika simu zao na kupost watu wakaandamane na mjinga ww unatoka kuandamana
Sawa mamaaNakuambia wewe ni idiot. Na mbaya zaidi unaonyesha u-idiot wako kwa kutumia ID halisi.
Nchini , kikanda na kimataifa! hii ni aibu na fedheha sana kwa Taifa.Japo wapo watakaodai ushindi ni ushindi tu, kwangu uchaguzi huu umeivua nguo, umemvua nguo na umewavua nguo.
Yaani hata CCM huku mitaani utaona nyuso zao zinavyowasuta. Ni aibu ya taifa. Aibu haina chama!Japo wapo watakaosherehekea aina hii ya ushindi, kwangu naamini wengi nafsi zao zinawasuta na hawaamini walichokishuhudia.
Nina shock si ya matokeo bali hali ilivyo. Miaka 5 upinzani ulipigwa marufuku. Miaka 5 ya chama kutangaza sera za madaraja, midege, na flyovers. Miaka 5 ya manunuzi ya madiwani na Wabunge. Miaka 5 ya matumizi ya fedha za umma mengine bila uhakiki. Miaka 5 ya kutesa wapinzani, kutishwa n.k.Magufuli ataingia kwenye vitabu vya historia kama kiongozi aliyewazindua Watanzania wadai upya nchi yao kutoka kwa wakoloni mamboleo, CCM.
Poor you! Typically Bongomindset! Sir, hapa hatushabikii! Hapa tunazungumzia mustakabadhi wa nchi kwa hoja za nguvu. Wewe unaleta ule ushabiki wa kibongo bongo wa Simba na Yanga ambao watu wanabishana kama makasuku bila kutumia hoja.
Kwa kifupi hapa watu wanaoona mbali na kuitakia nchi yetu mema wanaona tunarudi nyuma kwani mihimili yote ya serikali imebakwa na Magufuli kitu ambacho siyo kizuri kwa maendeleo ya nchi. Upo?