Mtoto wa Mama Samia
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 772
- 392
Acha upimbi, Hayo yanawezekana kutokea kwenu huko Buzirayombo ambako kuna illiterates wengi. Watu wa Kawe hawawezi kufanya huu utopolo unaouzungumzaHili Iinahitaji akili tu ndogo ya kawaida kujua hili limeletwa kwa makusudi tu mabaya ya kueneza uongo.. Kura za Rais siyo lazima zilingane na kura za ubunge kwa kila jimbo au kituo. Jua kuna kura zinazoweza kuharibika upande mmoja na zisiharibike upande wa pili...
Haya mkosamali na litanzania lakijingaNever ever
Ugaidi uje tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye ataandamania Brusels kule Belgium alafu Mange Kimambi anaandamania kule Carlifonia, USA.
Alafu nyie Wabongo mnaaandamania hapa ili mpigwe mfe [emoji23]
Ila any way pole mkuu inaonesha unaumia sana ila Usiombee ugaidi mkuu huko siyo poa [emoji41]
Yaani hujui kuwa walipokuwa wakirudisha fomu majina yao yalikuwa yakiandiwka kwenye daftari la wagombea na list hiyo ndiyo imetumika kwenye ballot? Ulitaka iwe alphabetical kwa msingi gani, jina la kwanza, surname au jina la chama?
Angalia speed ya internet yako. Usilaumu watoa internet, laumu bundle lako. Pia kumbuka wakati huu ambapo kila mtu anaingia kwenye intenernet, speed inapungua kwa wote, na wengine kwa sababu ya nguvu ya simu yako ndiyio kabosa huwezi kuibgia.
Katika awamu hii, waziri na RAIA wote wana haki sawa, anapaswa kupanga foleni, labda wapiga kura mumpe hiyo heshima ya kumpisha. Huo ndio ustaarabu wa watanzania chini ya utawala wa JPM. Kumbuka Mama yule aliyemfokea traffic barabarani jinsi alivyotaka kugharimu uwaziri wa mmewe.
Tindo nakusalimia ndugu yangu. Kampeni yako ya kuzuia watu wasijiandikishe naona imezaa matunda.
Reserved: Ajili ya PICHA na video mbalimbali
Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu akiwa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere, Dar es salaam tayari kuelekea Mkoani Singida kushikiri zoezi la upigaji kura.
BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA AWATAKIA KILA LA KHERI WATANZANIA
Today is the day! Kila la kheri to all Tanzanians as they head to the polls to exercise their right to vote. Providing full access to observers and party agents, along with transparent tallying, will give credibility to this process.
IGP SIRRO APIGA KURA, ATOA NENO
View attachment 1614517
Miradi mingi Tanzania infadhiliwa na mabeberu mpaka mabarabara , elimu ya bure etc sasa ngoja world bank, usa, eec, UK, Sweden, Denmark, canada, Netherlands etc. waashukie ndio mtajua...ni msibaa maana we almost depend on donors by 60-70 of our budget support.expand...
How can you steal election? This impossible rather it is compromised and cast votes are prone to be destroyed in favor of the preferable contestant.