Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Hili Iinahitaji akili tu ndogo ya kawaida kujua hili limeletwa kwa makusudi tu mabaya ya kueneza uongo.. Kura za Rais siyo lazima zilingane na kura za ubunge kwa kila jimbo au kituo. Jua kuna kura zinazoweza kuharibika upande mmoja na zisiharibike upande wa pili...
Acha upimbi, Hayo yanawezekana kutokea kwenu huko Buzirayombo ambako kuna illiterates wengi. Watu wa Kawe hawawezi kufanya huu utopolo unaouzungumza
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye ataandamania Brusels kule Belgium alafu Mange Kimambi anaandamania kule Carlifonia, USA.
Alafu nyie Wabongo mnaaandamania hapa ili mpigwe mfe [emoji23]
Ila any way pole mkuu inaonesha unaumia sana ila Usiombee ugaidi mkuu huko siyo poa [emoji41]
Ugaidi uje tu
 
Yaani hujui kuwa walipokuwa wakirudisha fomu majina yao yalikuwa yakiandiwka kwenye daftari la wagombea na list hiyo ndiyo imetumika kwenye ballot? Ulitaka iwe alphabetical kwa msingi gani, jina la kwanza, surname au jina la chama?

Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.
 
Angalia speed ya internet yako. Usilaumu watoa internet, laumu bundle lako. Pia kumbuka wakati huu ambapo kila mtu anaingia kwenye intenernet, speed inapungua kwa wote, na wengine kwa sababu ya nguvu ya simu yako ndiyio kabosa huwezi kuibgia.

Amka jomba, usiwe zoba.
 
Katika awamu hii, waziri na RAIA wote wana haki sawa, anapaswa kupanga foleni, labda wapiga kura mumpe hiyo heshima ya kumpisha. Huo ndio ustaarabu wa watanzania chini ya utawala wa JPM. Kumbuka Mama yule aliyemfokea traffic barabarani jinsi alivyotaka kugharimu uwaziri wa mmewe.

Sio kwa hawa walevi wa madaraka wa ccm.
 
Nawasalimu wananchi!

Shutuma zangu za kwanza lazima niziangushie kwa hawa viongozi, wametuharibia sana uchaguzi wapende wasipende.Kuna shutuma kuwa wamepewa maagizo nao wakawaagiza WEOs na Wasimamizi wasaidi kuhakikisha kijani wanashinda kwa kishindo.

Nawaambieni kuwa huwezi kumlazimisha mke ambaye hakupenda kuishi naye unanidanganya tu.

Tunajua mwafanya haya kufurahisha utawala uliopo kulinda kitumbua chenu lakini yana mwisho haya mkumbuke. Dhambi mliyoifanya ni kubwa na mkumbuke kuna watu wamepoteza maisha kuhusu huu uchaguzi na damu hizo mikono yenu inahusika mtalaamu wa katika kitumbua Chenu hicho hakitakuwa cha baraka na badala yake kitakua cha laana.

Siku ya mwisho mnaambiwa kuwa watakuja manabii wa uongo kuwadanganya kwa vitu vizuri. Hawa manabii wanakuja kwa sura mbali mbali za kibinadamu hawaji kwa sura zao. Sasa kama unaambiwa fanya dhambi ili kulinda kitumbua chako maana yake na wewe njia ya Jehanam na Lucifer wako ni moja.

Tunawapa pole sana kwa shida zenu zinazowaponza. Zitawapeleka Jehanam mnaangalia.
 
Reserved: Ajili ya PICHA na video mbalimbali

TUNDU LISSU AELEKEA SINGIDA KUPIGA KURA
View attachment 1614455
Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu akiwa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere, Dar es salaam tayari kuelekea Mkoani Singida kushikiri zoezi la upigaji kura.


BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA AWATAKIA KILA LA KHERI WATANZANIA
Today is the day! Kila la kheri to all Tanzanians as they head to the polls to exercise their right to vote. Providing full access to observers and party agents, along with transparent tallying, will give credibility to this process.
IGP SIRRO APIGA KURA, ATOA NENO
View attachment 1614517
expand...
Miradi mingi Tanzania infadhiliwa na mabeberu mpaka mabarabara , elimu ya bure etc sasa ngoja world bank, usa, eec, UK, Sweden, Denmark, canada, Netherlands etc. waashukie ndio mtajua...ni msibaa maana we almost depend on donors by 60-70 of our budget support.
 
Tutaendelea kuikumbuka legacy ya yule mwendawazimu aliyeibaka demokrasia tarehe kama ya leo 2020.

Mmeona matokeo ya kile kituko alichokiacha kwenye kumbi za bunge ?
 
Bado miezi kadhaa tu tuingie tena kwenye mchakato kama huu.
Sijui upinzani utakuwaje???
 
Back
Top Bottom