Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Reserved for live updates!Reserved - Ajili ya coverage mbalimbali
Wa kwanza atakuwa wa mwisho.Eti jina la Magufuli ndo la kwanza na la Lissu ndo la mwisho!
Mambo ya kitoto sana.
Living prophecy.
Mimi pia kama wewe.Mwaka huu sijashiriki mambo ya siasa tangu Lowasa aliponiangusha akarudi CCM, jambo lililoniumiza zaidi ni kumuweka Lissu wa mwisho kwenye list, hiyo ndo sababu itakayofanya nimchague hata kama hatashinda, nitamuongezea asilimia.
Eti jina la Magufuli ndo la kwanza na la Lissu ndo la mwisho!
Mambo ya kitoto sana.
Ila wamekosa plan, maana the opposite is true, sasa mtu ukimwambia akifika kwenye karatasi jina la mwisho ndio uweke tik si sawa na ukimwambia jina la kwanza ndo uweke tik, hakuna tofauti, ni ujinga tu ambao watu wachache wanaona unawasaidia!Eti jina la Magufuli ndo la kwanza na la Lissu ndo la mwisho!
Mambo ya kitoto sana...
Mimi na ukoo wangu ni lissu tu
So whatAm here
Eti jina la Magufuli ndo la kwanza na la Lissu ndo la mwisho!
Mambo ya kitoto sana...
Nipo macho toka saa saba. Nimelala kwa masaa mawili tuu na kushtuka..Ikifika saa kumi na nusu natoka kuelekea kituoni. Ni yeyeeeeeeee. Tukapige kura na kuzilinda. Nitakuwa nawapatia updates moja mbili nikipata nafasi.