Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Eti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!

Mambo ya kitoto sana.

Kwa hakika kabla ya ule mwisho hata Nyani nao watakuwa binadamu?

Kwani mliwahi onyesha tofauti ylzenu na wakoloni weusi ni zipi?

Nini mlichowahi kufanya hata kuwakemea tu ili kuzingatiwa kwa neno 'haki?'

Kwa nini watulazimishe kuwa wao ndiyo wanafaa ati kwa kujenga miundo mbinu hata kwa kuuwa watu?

Nani aliwaambia tunawataka sana wao?
 
Kuna mzee tumepanda nae hice hapa kavaa jezi yake ya kijani na kofia kabisa,sasa sidhani kama anajua leo haitakiwi.
Huyo yuko save hanaga fujo za mihemuko kama wana Chadema
 
Mwaka huu sijashiriki mambo ya siasa tangu Lowasa aliponiangusha akarudi CCM, jambo lililoniumiza zaidi ni kumuweka Lissu wa mwisho kwenye list,

Mahaba niue hayo!

Unaweza kupata matokeo ya kujisikia vizuri kwa kwenda kumpigia kura Tundu.

Badala ya kulia lia humu kama zuzu kwa mambo madogo ambayo hayabidilishi akili ya Mtanzania kumchagua anayemtaka!
 
Magufuli Ushindi wakishindo

Nampongeza sana Magufuli kwa kuzima mitandao, kuna watu wangeshinda katika mitandao badala ya kwenda kupiga kura. Huku katika mitandao hakuna vituo vya kupiga kura wote leo tukapige kura hakuna kisingizio na wale wataalam wa Twitter nadhani sindano imewachoma.

Kuna siri kubwa nyuma ya pazia kuhusu mitandao ya kijamii, narudia kumpongea mzee kwa kuweka MAKUFULI katika mitandao [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
 
Back
Top Bottom