Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Niko naangalia TBC1 hapa, nimecheka hili igizo, eti waziri naye kapanga mstari na mkewe wanasubiri wapige kura! Hivi karne hii wanamdanganya nani wakati kila siku huwa tunasimamishwa barabarani zaidi ya masaa mawili kusubiri wapite?
Basi leo amekaa kwenye foleni. Sasa hutaki?
 
Niko naangalia TBC1 hapa, nimecheka hili igizo, eti waziri naye kapanga mstari na mkewe wanasubiri wapige kura! Hivi karne hii wanamdanganya nani wakati kila siku huwa tunasimamishwa barabarani zaidi ya masaa mawili kusubiri wapite?
Wanaznguaaa
giphy.gif
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Voting reports indicate widespread irregularities in the form of preventing our polling agents from accessing polling stations. Stuffed ballot boxes seized in Kawe, Dar. If this continues, mass democratic action will be the only option to protect the integrity of the election.
 
Watu wamepoteza imani na zoezi zima la uchaguzi kutokana na upikaji wa matokeo. Huo ndio ukweli, ni nadra watu wanaopenda ukweli kila mara kukutana na matokeo ya kupika. Sio kila mtu ni mvumilivu wa wizi.
Daah'!!
Sasa mkuu, watu wanakata tamaa kabla hata ya kupiga Kura kweli??

Huku ni kutokujitendea haki aisee
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Voting reports indicate widespread irregularities in the form of preventing our polling agents from accessing polling stations. Stuffed ballot boxes seized in Kawe, Dar. If this continues, mass democratic action will be the only option to protect the integrity of the election.

Ndio maana mnaitwa vibaraka na lugha yetu mnaipiga teke ili wasome mlichoandika. Hovyo kabisa... Congrt Magu in advance [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
 
#UAMUZI WA NAFSI; Umechapia kumtaja E. Chahali kwenye uzi wako mtu wa kitengo muasi. Maelezo marefu ambayo yameegemea upande wenye hisia zako. Anyway, that is a day light illusion...

Alochokisema Lissu kuhusu shambulio lake ndio ukweli wenyewe, hata udhikiri uchi lakini habari ndio hiyo.
 
Back
Top Bottom