Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Vipi hauna kingine cha kusema? Hilo limekwishaeleweka mbona?
Well, wajipange tu kwa ajili ya 2025.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well, wajipange tu kwa ajili ya 2025.
Acha porojo wewe, njoo tuandamane huku. Tumekiwasha kinoma, hakuna kurudi nyuma. Tunapigania maslahi ya lissu, ila kwa sharti la aachane na amsterdam. Maana ukaribu wao unatutia mashakaKampe pole mpwa wako aliyejenga uwanja wa ndege wa kifahari katikati ya watu wenye ufukara wa kutupwa! Huyo ndiye anayehitaji pole nyingi sana!
Kamanda kwahiyo wewe binafsi unasema hutoandamana?? Wewe kama wewe..Una UFINYU mkubwa wa akili kwa kudhani kupambana na Serikali dhalimu ni kwa namna moja tu.
Nakumbia tena nenda kampe pole yule mpwa wako aliyekwenda kujenga li-kiwanja la ndege la kifahari kijijini huku watu wakiwa hawana hata maji ya kunywa! Huyo ndiyo wa kupewa pole kwani ana matatizo makubwa mno.Acha porojo wewe, njoo tuandamane huku. Tumekiwasha kinoma, hakuna kurudi nyuma. Tunapigania maslahi ya lissu, ila kwa sharti la aachane na amsterdam. Maana ukaribu wao unatutia mashaka
#chadema ni lazima ife#
Pole kamanda, chomoa ukimbie.Nakumbia tena nenda kampe pole yule mpwa wako aliyekwenda kujenga li-kiwanja la ndege la kifahari kijijini huku watu wakiwa hawana hata maji ya kunywa! Huyo ndiyo wa kupewa pole kwani ana matatizo makubwa mno.
Punguza kuwakeraaaa hahahHata kama una huzuni na kushindwa kwa kishindo. Ndio uandike "MBOYE" instead of "MBOWE" kweli??
Au hata wagombea wenu mlikuwa hamuwajui kwa majina..Sio mbaya katika ile karatasi ya kupigia kura kulikuwa na ka picha.
Ila mmestahili mlichokupata.
Kabla sijakuambia unajua hujui, em zitaje hizo njia chungu mzimaAcha ujinga wewe hii ni 2020 kuna namna chungu nzima ya kupambana na Serikali dhalimu usidhani tuko mwaka 47.
Halafu apige kampeini za sera siyo za kumshambulia mgombea mmoja tu na kuifanya kuwa ndiyo sera. Ni tabia nzuri sana kukubali mazuri yaliyofanywa na mwenzako na kuonyesha kuwa ingekuwa wewe ungeyafanya vizuri zaidi, na hivyo unahaidi kufanya zaidi ya hapo. Lakini kila siku kuponda kila kitu inafikia hata wananchi wanakuona kuwa hauko serious.MiMi ni CCM haswaa ila NAKUSHAURI TUNDU LISSU ANZISHA CHAMA ILA PIGA CHINI HAO KINA MBOWE KINA MNYIKA KINA ZITTO, SIJUI HECHE ,KINA MDEE KINA BULAYA PIGA CHINIII....MIMI NITAKUUNGA MKONO UTALETA UPINZANI WA TIJA NA UTAKUWA UMEKOMAA KISIASA ACHANA NA CAHADEMA ...ILA UKITAKA MSAADA WANGUU ACHE MATUZI DHARAU NA KEBEHI KWA VIONGOZI WENZAKO..PIA UTUBUVKWA WATANZANIA NA UWEKE MASLAHI YA WATANZANIA MMBELE
HahahaaaMwenzie alikuwa ananadi sera,yeye akawa anawasimulia watanzania story za ubelgiji.
Walaumu waliokunyima elimu ya kujua historia ya nchi yako!! Anyway jifunge shanga vizuri, ukashangilie ushindi wa chama chao vizuri!! Ukawashangilie watoto wa Pinda, Lowasa, Kikwete, Makamba, walioshinda ubunge na mtoto wa Mwinyi aliepewa Urais uko Zanzibar!! Ukimaliza kushangilia wakupe pombe ulewe ujifariji!!!
Vipi kuhusu Hawa Mwaifunga aliyegombea Tabora mjini kupitia CHADEMA?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JIWE limetoa order
Bila katiba mpya na tume huru hakuna kujipanga.Well, wajipange tu kwa ajili ya 2025.