Shikamoo SIASA. Kubababeki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cha msingi ameshindwa, na akimteua tutakua na uhakika kwamba anabebwa.

We mkuu wa mkoa kama kazi zako zilikua vizuri, utashindwaje kura za maoni..

Tangazo, nauza dawa na kukuza makalio[emoji1][emoji1]
Ni lazima atamteua Mkuu. Unless dikteta HAJIPENDI.
 
Bado hujajibu swali, na DAB tayari keshapewa za uso.

Angekwenda kugombea koromomije angeshinda
Chandema au Act mkuu. Mana Sisi tusio na vyama. Rais wetu Ni yule yule. 5 years noch. Then akapumzike
 
[emoji28]
 
😂😂😂😂😂 Huyo ni ME au KE?

[emoji1][emoji1][emoji1] kuna mwingine amejinandi eti anafikika, anaashaurika na mwisho akamalizia eti anaingilika.. ukumbi kicheko hadi wanalala chini[emoji1]
 
Angalia wasije vamia JF na mibunduki yao usiku.
#BREAKING: Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile @DocFaustine ameibuka mshindi wa kura za maoni Kigamboni kwa kupata kura 190, mshindi wa pili ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda mwenye kura 122.
 
Mtama
Nape Nnauye - 496
Nahonyo Cuthbert 177
Chiwinga Aushuatino - 42

Tusubiri viumane na wa ATC Wazalendo tupime nguvu ya Membe kwao
 
Most likely atapewa. Ukizingatia pia utafauti wa kura 9 ni chache sana.

Kimei anauzika hata kwa wapinzani, huyo Koola anaweza asiwe na ushawishi nje na wanachama wa CCM Vunjo ambao pia ni wachache.
Ndugu unamjua Koola?
Huyo Engineer ni mwamba kweli kweli huko CCM Vunjo. Kuna watu wengi huko Uchagani wameshangaa kumuona Kimei ameweza kuleta huo ushindani.
Nina uhakika CCM hawataweza kumkata Koola, hata iweje. Kama Magufuli anampenda sana Kimei ili ampe waziri, basi atasubiri kuja kumteua kwa ubunge wa viti maalum ikiwa Magufuli atautwaa tena urais.

Lakini fahamu tu hili, hakuna mchaga atayevuna uwaziri chini ya utawala huu wa Magufuli, sembuse uwaziri wa Fedha.
 
Wewe ni Mnafiki sana kuna ' post ' hapa ulisema Paul Makonda ndiyo ameshinda au atashinda nashangaa Kukuona hivi sasa nawe unashangilia.
Mtani acha ujinga Makonda nimpeleke wapi?
Bora mbuzi ashinde na sio yeye.
Japo nilikua na hofu kwa nma alivyomwaga pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…