Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,455
Kwa umaarufu alionao Makonda , aisee Ndungulile kampiga kisawa sawa kwn huwezi sema kura ni chache...hzo kura ni nyingi sana sanaUkitathimni matokeo ya uchaguzi wa jimbo la kigamboni ,Nzega mjini,Mtama utaona wakongwe waliotetea majimbo yao , Bashe na Nape Nauye wamewaacha mbali sana wapinzani wao ,mfano Nape anakura Mia nne na ushee anayemfatia Ana kura miambili na Bashe kapiga kura miatatu na ushee, anaemfatia ana kura kumi na mbili .
Kwa kigamboni Ndugulile alitakiwa amuaache mbali sana Makonda ,kwa sababu ni mbunge jimbo hilo kwa miaka 10,halafu anatofautiana na mgeni kwa kura 68, hii si nzuri kwake. Kama ilivyoada kwa ccm kuongoza kura za maoni sio tiketi ya jina kurudi.
Safari ndio imeanza kuhusu hili jimbo la kigamboni,wagombea wakapitishwe kwenye kamati ya wilaya ya siasa ,kamati ya mkoa ya siasa kisha yapelekwe Dodoma kwa wazee cardinal rule ndio jina lirudi. Wale mnaompinga Makonda msishangilie kwa sasa, baadae msije kujikuta mnasonya
Safi sana,ubaya haulipi!#BREAKING: Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile @DocFaustine ameibuka mshindi wa kura za maoni Kigamboni kwa kupata kura 190, mshindi wa pili ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda mwenye kura 122.
Lema hana chake pale. Atapata kira za mateja tu ila sio za wengi wanaojitambua.Arusha Mjini
Mrisho Gambo - 333
Philemon Mollel - 68
Albert Msando - 19
What a game,What a battle PALE LEMA HAPA GAMBO.
TUKO NA MAKONDA JUA LIWAKE MVUA INYESHE HATUKO NA NDUGULILETumbo Moto Moto mtapata shida Sana mwaka huu
Bashite kalala chali mapema kabisa kabla ya mchezo
Na Temeke Chali amerudi Mtemvu. Wenye vipimo vya mikia njeMwanri.... Chaliiiii
Makonda..... Chaliiiii
Nasari...... Chaliiiiii
Mtulia..... Chaliiiiii
Maoni....Kura za maoni
JidanganyeLema hana chake pale. Atapata kira za mateja tu ila sio za wengi wanaojitambua.
Bai bai lema...
Rais kamponda lakini CCM imeridhika naye tuache uchochezi!Magufuli hawezi kumtosa Makonda, kuhusu tofauti ya kura ni kubwa sana, hata kama ingekuwa moja, Ndugulile anastahili kupewa hiyo nafasi.
Ila nikikumbuka Magufuli alivyomponda Ndugulile wakati akimtumbua u Naibu Waziri wa Afya, kuwa hospitali zake hazina dawa pamoja na cheo chake, bora Ndugulile asubiri tu kupewa cheo kingine.
Alihisi Ndugulile alivyotumbuliwa kwenye unaibu W wa afya itatosha kuwa kashifa kwake kumpoteza kwenye ulingo wa siasa na yeye iwe fursa kwake ya kupenya kiulaini!Daaah sasa makonda ataenda wap jamn
Lema hana kiti pale.Jidanganye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siasa hizi duhSasa wamkate ndungurile waone tunaenda nae ACT au CHADEMA.
naona wabunge wa kununuliwa mtolea na mtulia wote chaliNa Temeke Chali amerudi Mtemvu. Wenye vipimo vya mikia nje
Wengi wape!TUKO NA MAKONDA JUA LIWAKE MVUA INYESHE HATUKO NA NDUGULILE