Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ndugulile to hell with him huyu vita ya corona alitaka watanzania tufe hata angepata kura zote mimi ningempinga anaamini dawa za kizungu alimpinga hadi Magufu;i tusijifukizie wakati anajua hakuna tiba ya CORONA KAMATI ZA UTEUZI MPENI YEYOTE sio Ndugulile mimi napinga wazi nikiwa CCM damu I SAY NDUGULILE NO NO NO NO kAMANDA MZURI HUONEKANA KWENYE VITA MAGUFULI KAPIGANA VITA nzuri ya corona sio ndugulile .hwezi zawadia ubunge mtu aliyeshindwa kupigana vita napimga .Na CCM wa take note kuwa mimi nikiwa mmojawapo wa mpambanaji huria wa mitandaoni wa kujitolea mitandaoni wa CCM SIMTAKI NDUGULILE
Ni kweli ww na Magufuli hamumtaki Ndugulile bali mnataka Makonda. Hata kama unazunguka ila unayemtaka ni Makonda. Ndugulile ni Doctor, ushauri alioutoa ulikuwa wa kitaalamu, na sio wa kuendana na hisia za rais. Magufuli amebakiza miaka mitano madarakani, lakini elimu ya udaktari ni ya kudumu. Ndugulile atakuwa mwendawazimu kama mtaalamu kutoa ushauri ulio nje ya utaalamu wake, kisa kumfurahisha rais ambaye sio mtaalamu, na anaamini kwenye mitishamba.
Ww endekeza siasa za kichovu kwenye kila jambo, Ndugulile analinda taaluma yake. Huyo Makonda wako kapigwa bao, hata kama mbeleko itatumika huko mbele, lakini ukweli ni kuwa Makonda hana ushawishi huo.