Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Ndugulile to hell with him huyu vita ya corona alitaka watanzania tufe hata angepata kura zote mimi ningempinga anaamini dawa za kizungu alimpinga hadi Magufu;i tusijifukizie wakati anajua hakuna tiba ya CORONA KAMATI ZA UTEUZI MPENI YEYOTE sio Ndugulile mimi napinga wazi nikiwa CCM damu I SAY NDUGULILE NO NO NO NO kAMANDA MZURI HUONEKANA KWENYE VITA MAGUFULI KAPIGANA VITA nzuri ya corona sio ndugulile .hwezi zawadia ubunge mtu aliyeshindwa kupigana vita napimga .Na CCM wa take note kuwa mimi nikiwa mmojawapo wa mpambanaji huria wa mitandaoni wa kujitolea mitandaoni wa CCM SIMTAKI NDUGULILE
Eti mpambanaji huria kwa wewe na ule MSIBA WA BUNDA n wamoja

Mkuu tupe matokeo ya NINJA NA MSIBA
 
Huyu ingekuwa mshindi lazima apate nusu angekuwa nje. Sasa hivi anatakiwa ajipange sana kwenye uchaguzi Mkuu kwa sababu zaidi ya nusu ya wajumbe hawakumtaka.

Amandla...
Angalau kafurukuta maana kutoka nje ya chama na kupata hizo kura si haba. inawezekana alijitahidi kujiweka karibu nao pamoja na ugeni wake
 
[emoji23][emoji23]
mr_misifa1_20200720_4.jpeg
 
Alisimamia misingi yake ya utabibu hivi unataka siasa kila mahali? Magufuli kama yuko sahihi basi ni katika kubashiri tuu ila in reality yy Ndugulile kama Daktari aliitendea haki fani yake.
Magufuli ni mtaalamu wa madawa ana PHD ya kemia huwezi mlinganisha na Ndugulile .

Madawa hugunduliwa na wakemia sio madaktari kama Ndugulile .Kazi ya daktari sio kugundua dawa wakemia ndio hugundua daktari kazi yake kuandika tu prescription ya dawa iliyogunduliwa na wakemia

Ndugulile hana proffessional authority ya kumpinnga Chemist Dr Magufuli

TO HELL WITH NDUGULILE
 
Angalau kafurukuta maana kutoka nje ya chama na kupata hizo kura si haba. inawezekana alijitahidi kujiweka karibu nao pamoja na ugeni wake
Kweli amejitahidi. Na mpinzani wake ameingia dakika za mwisho wakati yeye amejijenga kwa miaka mitano.

Amandla...
 
Lema hajawahi kuogopa majungu
Ni uchaguzi wa ndani wa sisiemu, hawajashinda chadema! Sijui unajua hilo....
Endelea kupigia vigeregere sisiemu ya jpm..
Vipi Gambo nae? Nasikia kashindwa...
Lema ajiandae sasa kuachia jimbo, asiyemoenda kaja.
 
Ni uchaguzi wa ndani wa sisiemu, hawajashinda chadema! Sijui unajua hilo....
Endelea kupigia vigeregere sisiemu ya jpm..
Vipi Gambo nae? Nasikia kashindwa...
Lema ajiandae sasa kuachia jimbo, asiyemoenda kaja.
Wana dsm tunafurahia kupigwa za shingo Bashite, ndiyo mjue kuwa hata wana ccm wenzenu hawampendi Bashite wenu
 
Back
Top Bottom