Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Dah pole SANA amini kuea jamaa ako Makonda kafeli tu huyo ndo basi tena
 
Makonda ni husler na mpambanaji,hajaogopa amethubutu. Vijana mpongezeni makonda na mpeni pole ya kushindwa Amejifunza mengi kwa mchakato huo.Makonda ana roho ya kiume,nimemkubali kwa uthubutu wake.
Angekua ana roho ya kiume asingekuwa analialia kama mtoto wa kike, jamaa analia zaidi ya watoto wa kike, anadeka...na huko alipo atakua ana hali mbaya sana.
 
Mwambie Betina akapiganie jimbo lake la magogoni, mbeya ina wenyewe na wenyewe ndiyo sisi na tulisha kula kiapo kuifuta ccm
Safari yake imefika, mpe salam..
Pia yule wa moto chini kule mbeya, kiama kimefika...
Wanapukutishwa na wananchi mmoja baada ya wengine...
 
Ona umbwa nyingine hii......
Hivi matokeo momba yakojee?
Mambo mengine ni upuuzi mtupu.
Kule Chadema alikuwa na hadhi na heshima. Huku ana kuja kupigia watu magoti dume zima.
Kama hao wachache kaanza hivyo je majukwaani ata lamba watu magoti??
Huyu nae nitafurahi akimfuata Makonda na kina Nasari
 
Kigamboni Tayari Kuna Makundi Mawili Team Makonda Na Team Ndungulile Wote hawa Wametumbuliwa. Huenda Hili Jimbo akapewa Mtu mwingine kabisaaaa Tofauti Na Hawa Kama Mkulu Alivyo tangulia kusema. Chama Pinzani kikiweka mgombea Mwenyewe Akili ni Rahisi sana Kushinda kwenye Majimbo kama Haya
 
Tangu wana kigamboni walipo ambiwa wakapige mbizi, tangu siku hiyo wakawa na usongo sana na kina Bashite
Makonda tulimshauri akagombee Ukonga ambako hakuna mwenyewe lakini hakutuelewa.

Ndugulile alitetea sana Kigamboni isiuzwe kwa mabeberu so wananchi wanamkubali.
 
KURA ZA MAONI KINONDONI: ZAMARADI APATA KURA MBILI Mtangazaji zamaradimketema amepata kura mbili kinyany’anyito za kura za maoni jimbo la Kinondoni. Kura zilivyohesabiwa kwa uwazi mbele ya wagombea wote pamoja na wajumbe. Abbas Tarimba 171” Idd Azam 78 Kalapina 1
Duh! Pina kula moja!
 
Back
Top Bottom