Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu nae imetoshaaaNape Kashinda Kura zaidi ya 400 jimbo la mtama
Angalia vizuri list
Silinde vipi wadau huko momba
Aliefanya ufikie hapa ni Kigamboni ,Kawe na Ubungo si vinginevyoHahahha... Ule uzi wa unaohusu kura za maoni huko chadema una karibia wiki 2 na una coment 440
Huu wa ccm ni wa leo kakini tayari coment ni 460
Kwani kashinda gambo?Namwona gambo akipigwa tanganyika jeck[emoji23][emoji23]
Makonda isha kula mkuuKila la Heri Waheshimiwa Paul makonda, Gambo, katambi Ole sendeka na Mwanri👏👏
Safari yake imefika, mpe salam..
Pia yule wa moto chini kule mbeya, kiama kimefika...
Wanapukutishwa na wananchi mmoja baada ya wengine...
Go go Shigongo....wazinza walikua wanatusema sanaJimbo la Buchosa Mkoani mwanza
Dr Charles Tibeza 354
Erick Shigongo 354
Juakali what? Machozi yote yale!!Aaaaah na bado Mtulia chaliiii Juakali chaliiii, Na bado piga kelele kwa wasaliti akeeeeeeeeed
Zamaradi huyo mpwaa ndo alisema anaingilika
Mwenyekiti akamwambia lugha zingine hizo kinondoni tunaelewa vingine
Si mlisema nyie mtt wa baba atapita!Makonda tulimshauri akagombee Ukonga ambako hakuna mwenyewe lakini hakutuelewa.
Ndugulile alitetea sana Kigamboni isiuzwe kwa mabeberu so wananchi wanamkubali.
Safi sana,hii dawa nzuri kwa wanafiki kama Nassari.Nassari nassari tulikuambia haukutaka kusikiaView attachment 1511945
Hivi Serikali za Mitaa walitumia utaratibu upi? Tukumbushane kidogo
Pale tunachochea kuni mkuu.Si mlisema nyie mtt wa baba atapita!
JESUS IS LORD[emoji120]
Aisee hii kitu ni maana kabisa. Sijui kama alishawahi kuomba msamaha huyu mzee Warioba. Bashite ulaaniwe. Umetesasana watu. Piga toba sana vingibevyo laana nyingi zitakufuata.