Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashite kwishneeeey Babu G
Makonda tulimshauri akagombee Ukonga ambako hakuna mwenyewe lakini hakutuelewa.
Ndugulile alitetea sana Kigamboni isiuzwe kwa mabeberu so wananchi wanamkubali.
Dua za wana mageuzi ni kubwa na zina nguvu maana Mungu yupo upande wetuMambo mengine ni upuuzi mtupu.
Kule Chadema alikuwa na hadhi na heshima. Huku ana kuja kupigia watu magoti dume zima.
Kama hao wachache kaanza hivyo je majukwaani ata lamba watu magoti??
Huyu nae nitafurahi akimfuata Makonda na kina Nasari
Kesho ndo kura ya maoni gwaji boy atasomeka keshoKawe bado tu
Majimbo ninayosubir kwa hamuKuna majimbo nami nayasubiri kwa shauku sana kujua CCM wanasimamisha wagombea wapi?
Mwibara vip msiba na kangi nani ni nani?Majimbo ninayosubir kwa hamu
1:kawe
2:Tarime vijijini
3:Nyamagana
4:kirombero
5:Bunda mjini
6:Tunduma
[emoji23][emoji23] Mwana wa yesu wa lumumbaMwibara vip msiba na kangi nani ni nani?
Namwona gambo akipigwa tanganyika jeck[emoji23][emoji23]kwahiyo Gambo uso kwa na Lema
haaaa wakiweja fair
Kwani waitara hajatangaza nia?Lijuakali hatopita,yatamkuta yalomkuta Mtulia. Waitara aliusoma mchezo.
Na wameshinda kwa kishindoHivi Nape na January Makamba hawajatia nia kwenye majimbo yao!?
Hivi Nape na January Makamba hawajatia nia kwenye majimbo yao!?
😂😂😂😂😂 Huyo ni ME au KE?
Mjipange sanaMwambie Betina akapiganie jimbo lake la magogoni, mbeya ina wenyewe na wenyewe ndiyo sisi na tulisha kula kiapo kuifuta ccm