Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Bashiru ali print fomu moja tu kwaajili ya mwenyekiti yesuHivi kura za maoni kwenye nafasi ya urais zilisha pita?
Mwenyekiti alisema itategemea ameamkaje lakini pia hataa ukishinda basi unaweza kukatwa na akachaguliwa wa chini yakoHivi ukishapita kwenye kura za maoni ndo umepita au unaweza kukatwa huko mbele even wananchi wamekuchagua wewe?
naniSasa yule sell out itakuaje au ndio atapangiwa majukumu yake au ndio when mission accomplished retire all assets
Na kesi ya Chadema,Wapi mtulia chanzo cha muuaji wa akwilina
Atapewa teuziWapi mtulia chanzo cha muuaji wa akwilina
Kinondoni ni kwa yule wa CUF aliyetosa chama chake?Abas Tarimba anaongoza kwa wingi wa kura za maoni kinondoni akifuatiwa kwa ukaribu na IDD AZAN kura bado zinaendelea kuhesabiwa mubashara.
Kulikoni mkuu tuhabarishe.Duh!Bilabila ,nitarudi hapa kesho kutwa
Hawatoi update ni maneno tu..sijui.wanegomaKulikoni mkuu tuhabarishe.