Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Hivi ukishapita kwenye kura za maoni ndo umepita au unaweza kukatwa huko mbele even wananchi wamekuchagua wewe?
Mwenyekiti alisema itategemea ameamkaje lakini pia hataa ukishinda basi unaweza kukatwa na akachaguliwa wa chini yako
 
Naanza na mbunge wa jimbo la HANANG Mkoani Manyara Merry Nagu wew nakuomba upumzike 25yrs inatosha hamna jipya utakaloleta au kufanya. Pumzika kwa heshima usiondoke kwa fedheha. Asante sana ndugu mwenyekiti.
 
Abas Tarimba anaongoza kwa wingi wa kura za maoni kinondoni akifuatiwa kwa ukaribu na IDD AZAN kura bado zinaendelea kuhesabiwa mubashara.
Kinondoni ni kwa yule wa CUF aliyetosa chama chake?
 
Upo sahihi sana WAJUMBE wawakate au wasiwapigie kura na wakipenya huko basi sisi wananchi tuwachinjie mbali. Watu kama wakina Chenge wa nini tena?!
 
Ni ngumu kumuacha mtu kama ZITTO tumchukue STEVEN NYERERE eti sababu ni kukaa zaidi ya miaka 10.

Labla tuwe tunatumia kichwa kidogo kifikiria.
 
Abas anachukua kinondoni, wenyewe tunamuelewa, hatumtaki idd azzan tena alikua mbunge wa kinondoni, hila yupo busy na magomeni.
 
Back
Top Bottom