BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Maeneo mengi bado mkuu vuta subira mpaka kufika usiku utakua ushapata update.Hawatoi update ni maneno tu..sijui.wanegoma
Wewe ukatwe mshahara wako mil 1.6 kwa miaka mitano. Uchaguzi unafika unaambiwa zimeyeyuka,utaacha kulia?Siasa inahitaji ngozi ngumu siyo kulialia kama Lijualikali
Kweli mzee baba acha tisubirieRorya baada ya aliekuwa mbunge wake kujitoa (Lameck, yule asiyechangia hoja bungeni), walau sasa kutakuwapo na ushindani halali
Mbona Suxan Maselle na Sabrina Sungura hawakulia?Wewe ukatwe mshahara wako mil 1.6 kwa miaka mitano. Uchaguzi unafika unaambiwa zimeyeyuka,utaacha kulia?
Itakuwa walilia wakiwa vyumbani sio bungeni.Mbona Suxan Maselle na Sabrina Sungura hawakulia?
Mwamba alieunga juhudi kinondoni hali mbaya akipata kura 5 ashukuru laana ntakuelekeza jimbo ndio inamrudia😂😂😂Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.
Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilishi
Kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Magufuli waliochukua kugombea nafasi za Ubunge na uwakilishi ni 10,367. Waliokamilisha kujaza fomu na kurejesha ni 10,321.
Watanzania wataelekeza zaidi macho na masikio yao maeneo yenye upinzani mkali kama Kigamboni, Arusha mjini, Simanjiro, Kyela, Mbeya mjini, Mwibara, Misungwi, Same Mashariki, Tunduma, Tarime Vijijini na Ubungo ni baadhi ya maeneo yanayoangaliwa kwa jicho la tatu.
Ngoja tuone.
Up dates:
Jimbo la kinondoni jumla ya waliochukuwa fomu ni 81 na waliorejesha ni 79 ambao wanaendelea kujieleza .
Jimbo la Ubungo waliochukuwa fomu ni 113 na waliorejesha ni 111 na wanaendelea kujieleza, Mbarouk Masoud ambaye ni Katibu mwenezi anasema zege halilali.
Arusha mjini kuna watia nia 91 wanaoendelea kujieleza.
Jimbo la Lupembe mkoani Njombe watia nia 19 wanajieleza.
Abas Tarimba anaongoza kwa wingi wa kura za maoni Kinondoni akifuatiwa kwa ukaribu na IDD AZAN kura bado zinaendelea kuhesabiwa mubashara.
Nape ametia. Sina uhakika na January.Hivi nape na January makamba hawajatia nia kwenye majimbo yao!?
Kwa mfumo wa sasa wa ccm kura za maoni hazina maana yoyote ile maana anaweza chukuliwa hata mtu aliopata kura sifuri
Mtulia katulizwa.Mwamba alieunga juhudi kinondoni hali mbaya akipata kura 5 ashukuru laana ntakuelekeza jimbo ndio inamrudia😂😂😂