Nashukuru kwa kunirekebisha mkuu.Umechapia mkuu, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa si majukumu ya NEC. Uchaguzi wa namna hiyo uko chini ya Tamisemi! Aulizwe Jafo!!
Duu. Lakini ni ndugua aumtulia kinondoni
mtolea temeke
wote waliunga mkono juhudi
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
*WALIO ANGUKIA PUA KURA ZA MAONI CCM*
*#TeamMwananzila*
1. Sophia Mjema
2. Paul Makonda
*#TeamKuungaJuhudi*
1. Mtulia
2. J. Nassari
3. Kafulila
4. Lijualikali
5. Silinde
6. Katambi
Hahahaha Mkuu naona Tarimba kanyanyua kinondoniWalifikiri watu watababaika na jina
Ova
Kwa kweli ndìo nimejua leoNdio
Kuna mmoja kinondoni mwingine temeke
Huyo hata angepata sifuri bado atapitishwa tu. Hana wasiwasi, ndiyo maana hakutumia nguvu sanaSidhani kama ni wenye nazo tu ndio wanaopita, mbona nasikia mwenye vyote ameshika nafasi zinazofuata kule, yeye pia mnyonge?
Na iwe hivi kwa kweli. Mungu saidiaTunduma
Aden Mwakyonde Kura 254
David silinde 121
Ulitaka awe na elimu ya jalalani mkuu?🤣🤣🤣 Wangemuuliza Molel siri ya mafanikio. Katambi atajuta kuuacha ukuu wa wilaya. Elimu yake yenyewe ya chuo cha kata st Augustine.
Kwani Jery alimkosea nini Magu?
Ataifanya Songwe nzima kuwa ya kijaniTunduma
Aden Mwakyonde Kura 254
David silinde 121
Tunduma
Aden Mwakyonde Kura 254
David silinde 121
Kapita mollel kwa kura 1Hapana aliyepita ni injinia
JESUS IS LORD[emoji120]
Uzuri jamaa yupo tayari hata kufagia lumumba.Lijualikali kapigwa chini
Bado sijafahamu silinde vipi?
Na sidhani kama wana unduguKwa kweli ndìo nimejua leo
Lijua likali chaliii kaangushwaaa, waitara kesho tutajuaAhsante mkuu. Vipi kuhusu Lijualikali na Mwita Waitara?
Naona mnaanza kampeniHahahha... Ule uzi wa unaohusu kura za maoni huko chadema una karibia wiki 2 na una coment 440
Huu wa ccm ni wa leo kakini tayari coment ni 460
Makonda ni mbabe wa kivita