Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
7. Katani Ahmadi Katani
*WALIO ANGUKIA PUA KURA ZA MAONI CCM*

*#TeamMwananzila*
1. Sophia Mjema
2. Paul Makonda

*#TeamKuungaJuhudi*
1. Mtulia
2. J. Nassari
3. Kafulila
4. Lijualikali
5. Silinde
6. Katambi
 
Sidhani kama ni wenye nazo tu ndio wanaopita, mbona nasikia mwenye vyote ameshika nafasi zinazofuata kule, yeye pia mnyonge?
Huyo hata angepata sifuri bado atapitishwa tu. Hana wasiwasi, ndiyo maana hakutumia nguvu sana
 
Najaribu kuwafuatilia wateule wa Rais Magufuli waliobwaga manyanga na kutia nia ya ubunge.

Yule aliyekuwa DC wa Dodoma mh Patrobas Katambi sijamuona popote, je hakuwahi kutia nia?

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom