Silinde wakuu...tupeni taarifa
 
Nimeona baadhi ya wagombea wakipata kura 0 mfano Kiagmboni walikuwa wengi?
Swali je wwagombea hawapigi kura?
Na kama wanapiga basi huenda mtu aliwapa watu wakagombee ili wampigie kura na ndiyo maana hawakujipigia. Nimewaza tu
Kama sio mjumbe hawezi kupiga kura
 
Comment za huu Uzi unaonesha jinsi gani Jamaa hakubaliki na sijui nan alimdanganya akagombee kule badala ya kwenda Kolomije
 
Yaani mzee wa ma degree kibao leo kapigwa za uso?
[emoji122][emoji122][emoji122] Kyela so kwa kelele izi, kama ndo kuna pambazuka vile. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…