Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chaliii
JESUS IS LORD[emoji120]
Kapigwa chini nimepata matokeo ngoja nikutaftieSilali nasubiri ya silinde
TunajivuniaGambo ameshinda tayari
Kwani imekuwaje bwashee?Katambi angetulia tu kwenye U DC
Duh haya masalia mwaka huu yatanyooka bado Likuakali tupeni updates
Hukohuko mkuu, huyo jamaa hata angepita asingeshindaKule kwa Maselle?!
Aisee maisha ya siasa ni hovyo mno
20 Julai 2020
Kyela, Mbeya
Harrison Mwakyembe akinukisha akosa uvumilivu wa kisiasa
Ashangaa elimu ya watia nia wenzake ktk mkutano mkuu wa wilaya ya Kyela
Source : Habari Kwanza
Ha-ha-ha habari ndio hioAibu ya Magu!!
Amempita Mwanri kwa kura moja!Nilichogundua majimbo yenye mawaziri manaibu waziri wanaiba kura sana eti Molel katoboa
Yes kuna updates nimeziona ngoja nizitafute hope sijakosea
Wajuvi wanasema namba moja kawa kama bahari, hakai na uchafu, hata sijui kama ni kweli!Huyo hata angepata sifuri bado atapitishwa tu. Hana wasiwasi, ndiyo maana hakutumia nguvu sana
Kashinda nani mkuu?Kapigwa chin Mollel tena saa 2 asubuhi
Huyu si alisema apewe kazi ya kufagia ofisi za chama? Deserved what he gotLijualikali kapigwa chini
Bado sijafahamu silinde vipi?