Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Nilichogundua majimbo yenye mawaziri manaibu waziri wanaiba kura sana eti Molel katoboa
kwatofauti ya Kura moja na ukae ujue alikua CCM kabla ya kuhamia CDM na kurudi tena CCM, kwahyo sio mgeni ndani ya CCM kama hao wengine.
 
Zamani CCM ilikuwa chama cha wakulima na wafanyakazi sasa ni chama cha matajiri na wafanyabiashara wakubwa, wamechukua nyundo kwenye bendera, wamewatwanga za kichwa na kuwaua wakulima na wafanyakazi, kisha wakachukua jembe na kuwafukia wazima wakitapatapa kwa maumivu
 
Silali nasubiri ya silinde
Hayo hapo ya silinde
IMG-20200720-WA0094.jpg
 
Back
Top Bottom