impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Silali nasubiri ya silinde
Tunduma
Aden Mwakyonde Kura 254
David silinde 121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silali nasubiri ya silinde
Tunduma
Aden Mwakyonde Kura 254
David silinde 121
Hapo itakuwaje sasa?
Kwanini bwashee?!Hukohuko mkuu, huyo jamaa hata angepita asingeshinda
kwatofauti ya Kura moja na ukae ujue alikua CCM kabla ya kuhamia CDM na kurudi tena CCM, kwahyo sio mgeni ndani ya CCM kama hao wengine.Nilichogundua majimbo yenye mawaziri manaibu waziri wanaiba kura sana eti Molel katoboa
Kashinda mollel kwa kura 1Kashinda nani mkuu?
Lijualikali kapigwa chini
Bado sijafahamu silinde vipi?
Kapigwa vibaya snNasubili matokeo ya" Li sun Li hot"
Sijui atalia au atacheka
Amempita Mwanri kwa kura moja!
Leo ni Usiku wa Makonda
Mwakyembe hakubaliki Kyela
2015 aliiba kura za Chadema
Na mwaka huu wakilazimisha agombee CCM watapoteza jimbo
Mtoto mjinga sana alishindwa kuwa na akiba ya maneno na alivyo goigoi ahamie mombassa akafagie nyumba za waarabu.Huyu si alisema apewe kazi ya kufagia ofisi za chama? Deserved what he got
Tunduma
Aden Mwakyonde Kura 254
David silinde 121
Hayo hapo ya silindeSilali nasubiri ya silinde
Kafulila kapigwa chini mbali. Amekua nafasi ya nne
HONGERA Dk Tulia Ackson ,sugu lazima afungashwe virago Kyala akutule nkamu gwangu
Itakuwa nzuri sana hiyo.Kapigwa chini nimepata matokeo ngoja nikutaftie
Mwakyembe chali, aliyeibuka kidedea ni Mananasi.Silinde na Mwakyembe nasubiri matokeo yao