ingawa kwetu ni furahna wakina fulani hawajachaguliwa lakini kwao ni maumivu pamoja na familia zao pengine wanalia lakini ndio hivyo wavumilie tu maana nawao waliwahi kuwa sababu ya maumivu ya watu, pole sana makonda, pole mno.
 
JIMBO LA BUTIAMA
Jumanne Sagini 84
Frank Mahemba 80
Joseph Nyamboha 46
Manyerere Jackton 22
Makongoro Nyerere 3
Madaraka Nyerere 2
Msimamizi wa uchaguzi Msafiri Mtemi

Hapa kulikuwa na Dogo mmoja mwenye Roho mbaya sana. Tulichimba watu wanaomfahamu huko kazini kwake idara ya serikali wakatupa mambo yake. Leo tumempa za uso kura kichinjio tu leo. Arudi na hatokaaa apate Ubunge hapa. Kamati ya Roho mbaya itamnyuka tu.

Hiyo ni C&P nimepata mahali.
 
Mwakyembe ndiyo imekula hivyo; angekuwa wa pili, unaweza kusema labda aliyeongozqa ana skendo fulani itakayomdisqualify, lakini kuwa wa tatu ni mbali sana kwa yeye kutoka tena. Haiwezekani wote waliioongoza, tena kwa kura nyingi wote wawe na skendo za kuwa-dikwolifai. CCM iruhuhu utaratibu ufuate mkondo wake.
 
Nina wasiwasi kama maamuzi ya wapiga kura yataheshimiwa Mkuu. Ngoja tusubiri tuone upepo utaelekea wapi.

 
MAKONDA rasmi viti maalum, na uwaziri mambo ya ndani
Viti maalum havitolewi kwa walioomba kura za wananchi wakashindwa kuzipata. Kwa Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ndiyo the most prestigious position kwa wakuu wa mikoa halafu akaipiga sadaka alikosea sana. Ni afadhali kutumbuliwa na mtu mmoja aliyekupa madaraka hayo kuliko kushindana na watu wengi na ukaonekana kuwa hufai.
 
Muda uliokuwa unasubiriwa umeongea na kutoa fundisho kwa wale waliosaliti na kuunga juhudi. Kazi Sasa Ni kwa wale watiifu waliobaki upinzani. Toeni elimu Ni kwa namna gani waliligharimu serikali hela kwa kurudia uchaguzi. Mseme kwenye majukwaa Ni kwa namna gani bajeti ya tume ilivyogharimu hela nyingi kwa kurudia chaguzi hizi.
Mtoe takwimu Ni kwa jinsi gani maeneo mengine yalivyoathirika kwa kuhamisha hela na kwenda kufuraishana kwa jina uchaguzi wa marudio. Waonyesheni tofauti ya mtu aliyepita kura za marudio bila kupingwa na kura zao za Sasa kwenye zoezi la utiaji Nia na utitiri wa watu wsliojitokeza kutia Nia.
Waonyesheni pia unafiki na propaganda zilizofanywa na CCM za kutowawekea wagombea ili wapite bila kupingwa. Pia waelezeni watu jinsi chama Cha CCM kilivyowatumia dhidi ya upinzani kwa kuminya demokrasia. Nadhani mumenielewa.
Tumieni matokeo ya kutia Nia ndani ya CCM ili kujizolea umaarufu kwa watu Kama kina Makonda waliowatesa na kujifananisha na Mungu kwa kitendo Cha kukataliwa na wapiga kura ambao Ni wenzao
 
Mtu yule aliwatumia kutuumiza mioyo na sasa amewatupa kama tissue paper.
 
Walidhani njr ya chadema wana nguvu.

Walisahau kuwa Nguvu ya mamba iko kumaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…