onjwayo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 1,356
- 1,309
Kitendo walichokionyesha CCM kupitia matokeo kura za maoni kwa watia Nia toka kwa ndugu zetu mliowapokea inatia moyo. Kuwakataa mumetenda haki kwa watanzania na kwa wanaccm wenzenu
Mtu kwanza aliwananga kuwaponda na hatimaye akachaguliwa upande wa pili na Kisha wakuu wenu kufanya mnada na kumchukua. Baadaye wachuuzi wake wakamtengenezea brand Kali na kumteua Tena atetee Jimbo lake. Akashindishwa kwa hila bila kufuata taratibu za chama chenu Wala za tume.
Kuwakataa mumeonyesha kuwa Tanzania inaweza kusonga mbele bila hila chafu. Hongereni Sana wanaccm na pia hongereni Sana wanakigamboni. Na hii ni indicator kwa yeyote aliyekufuru kujifananisha na Mungu hakika atafeli. Wanasema kilichokataliwa duniani hata mbinguni kimekataliwa