Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
MAKONDA LAZIMA AMSHINDE NDUGULILE ....MWEZI MMOJA ULIOPITA HATA KABLA TAKUKURU HAWAJASTUKA ALIWAPA VIONGOZI WALIOTARAJIWA KUPIGA KURA ...WENYEVITI NA MAKATIBU KILA MMOJA MILIONI ..AKILENGA KURA 300 ...INAELEZWA ALIGAWA ZAIDI YA MILIONI 300 ...NI WAKATI ULE ULE WIKI MOJA KABLA NDUGULILE HAJATUMBULIWA [IKIDAIWA IT WAS PLANNED ] ......ANATEGEMEWA KUPEWA WIZARA NYETI



ILA WABOBEZI TUNASEMA JPM WILL REGRET ...TUKO HAPA ....
KIJANA ALIYEMTOSA "BABA" YAKE ALIYEMBEBA KUANZIA UVCCM ..KAMA HAMJUI ..
 
Wapo Madiwani, Wabunge wakiaminiwa na Wananchi kwa Gharama kubwa ikiwamo uhai lakini hao Jamaa waliziba masikio na Kuhamia Chama tawala kwa vipande 30 vya fedha ili Wapate uhakika wa kusimamishwa wagombea 2020.

Mpaka sasa MTULIA kule Kinondomi chaliii, Laana ya Usaliti haijawahi kuwa Na baraka.
 
Katibu uenezi wa CCM wilaya ya ubungo komredi Mbaruk Masoud ametoa ufafanuzi kwamba kura za maoni hazitoi wala kutangaza mshindi bali ni mapendekezo tu kwa kamati kuu ya chama.

Masoud amesema kamati kuu haitaangalia umepata kura ngapi na umekuwa wa ngapi bali una sifa kuwapita wengine?

Masoud alikuwa akihojiwa na watangazaji wa Clouds tv.

Maendeleo hayana vyama!




Aaaaah na bado Mtulia chaliiii Juakali chaliiii, Na bado piga kelele kwa wasaliti akeeeeeeeeed
 
Natamani kupata ya watoto 3 wapendwa wa Mzee baba, akiwepo mtoto pendwa sana wa baba pale kigamboni
 
Hakuna mtia nia atakayepita bila kuleta mbuzi mweupe kwangu!!!
Ngoja nipige simu Kigamboni haraka jamaa alete mbuzi mweupe.
Ila sijajua you mean mbuzi au beberu? Usinisahau tuu supu mkuu
FB_IMG_1593936269077.jpg
 
Back
Top Bottom