MICHAEL SON
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 458
- 536
Safi sn sn....... Hawa mashetani hawatakiwi kabisa hata kupata kura mojaKinondoni hatupendagi ujinga ujinga kabisa sasa mtulia aendelee kulima mboga mboga
Watu wote macho Kigamboni na Kawe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16]Kigamboni je???
Naombea yule shetani ibilisi mkuu asipate hata kura mojaKigamboni je???
Watu wote macho Kigamboni na Kawe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16]
Katibu uenezi wa CCM wilaya ya ubungo komredi Mbaruk Masoud ametoa ufafanuzi kwamba kura za maoni hazitoi wala kutangaza mshindi bali ni mapendekezo tu kwa kamati kuu ya chama.
Masoud amesema kamati kuu haitaangalia umepata kura ngapi na umekuwa wa ngapi bali una sifa kuwapita wengine?
Masoud alikuwa akihojiwa na watangazaji wa Clouds tv.
Maendeleo hayana vyama!
Angalia idadi ya wapiga kuraWenzake amepata 588 jaffo
Bashe 367
Yeye 27
Tusubirie tuone, Makonda kuangushwa ni kazi ujue lakiniNinavyowaamini wana kigamboni hawawezi kutuangusha
Mtulia rasmi tumemrudisha kulima mboga mboga dadeki zake
Kigamboni au kinondoni?Makonda ,,Kachukua kinondoni
Hahahaaaa....... Kinondoni ya Ufipa hiyo!Makonda ,,Kachukua kinondoni
Ngoja nipige simu Kigamboni haraka jamaa alete mbuzi mweupe.Hakuna mtia nia atakayepita bila kuleta mbuzi mweupe kwangu!!!