Hao wajumbe wa ccm wametokea mbinguni au? Hujui tunaishi nao na kukaa nao majumbani?

By the way una uhakika gani kama mimi siyo mmojawapo wa walio shiriki upigaji kura na kumkataa Bashite?
WEWE SIYO MMOJAWAO.
 
Jamani Mwenye Matokeo Kura Za Maoni Ubunge CCM

1.Dodoma Mjini
2.Bahi
3.Mpwapwa
4.Ngara
 
Mkoa wa Kigoma
Kasulu Vijijini

Augustine Vuma 266 (alikuwa mbunge anayemaliza muda wake)
Agripina Buyogera 97
Samson F. Kabogo 70
Betola Juma Kulikiza 46
Emanuel T. Msasa 26
Yona P. Msongwa 21
Adam P. Mkuyu 20
Prof. Hudson Nkotagu 18
Leonard L. Nyanzira 11
Gibson Bunyaga 10

Kwa hiyo Augustine Vuma ameongoza kutetea Ubunge katika Jimbo aliloliwakilisha.

Buyungu
Kamamba 50
Msakila 47
Gwegenyeza 44
Eng. C. Chiza 33

Kwa hiyo Eng. Christopher Chiza ameshika nafasi ya 4 kwenye Jimbo alilokuwa mbunge

Buhigwe
Dr. Philip Mpango 297
Obama 76
 
Wacha dunia imfundishe
 
Chiza katoswaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…