Chum Kane
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 1,143
- 948
Unafikiri kazi ya mbunge ni kuleta chakula nyumbani kwako. Pambana mzee. Acha kupenda vya dezoWewe usilete matusi hapa,
Wewe hujui maisha ya wanakishapu yalivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri kazi ya mbunge ni kuleta chakula nyumbani kwako. Pambana mzee. Acha kupenda vya dezoWewe usilete matusi hapa,
Wewe hujui maisha ya wanakishapu yalivyo
Dr Ndumbaro kapita
Weeee Kuna Mama huyoo anaitwa Furaha Dominic Jacob na Benjamin SittaMpaka sasa kwenye kuhesabu kawe ni Gwajima vs Angela Kiziga ndio mpambano unaoendelea. Mmoja wao hawa anachukua
Gwaji hamna
Hapo ni Angela ;vs Furaha Jacobo vs Ben Sitta
ongeza volumempaka sasa furaha dominic ndiyo amekusanya kitita cha kwenda
Aisee hamna huruma na huyu porn star?Kizigha anaongoza!
Tarime oyeeeeeTarime vijijini ni kesho
Mhh kwa bunda la kura nalomuona nalo porn star, sijui..!Kizigha anaongoza!
Hivi hawa wahamiaji wajinga nani kawadanganya kuwa wanakubalika? wao wameuza utu wao wakati wanafanya umalaya wa siasa wenye ccm yao walikuwa wanajenga chama halafu wee unakuja na mafua yako eti upitishwe jinga kabisaMtu kaliwa kichwa hukoView attachment 1512532
Labda kutafunwa vinginevyo weka ushahidi hapaFunga mdomo that woman worked very hard.
Anaonekana amejipanga sana, hii battle ikienda kati ya Mdee vs Anjela/Furaha itakua poa sana.Huyu Furaha yuko vzr
Huko peramiho ccm inaonekana kama munguKm jenista kasharoga kule kwetu peramiho, ni mbunge forever aaaaaj
hajazidi hata kura 10, angebaki tuu kwenye cheo chake alichoteuliwa alidhani hii ni 2015.Kippi dah...!
Sana huyu niliona nguvu yake jmos sehemu Fulani hv ,ndio nikamjuaAnaonekana amejipanga sana, hii battle ikienda kati ya Mdee vs Anjela/Furaha itakua poa sana.
Huyu nilijua tuhajazidi hata kura 10, angebaki tuu kwenye cheo chake alichoteuliwa alidhani hii ni 2015.