MR. IBU
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 1,380
- 2,965
Hapo sasa yaani unazidi kunichanganya..Poaaaaaah na relaaaaaaaaaaax.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa yaani unazidi kunichanganya..Poaaaaaah na relaaaaaaaaaaax.
Wale waliojipanga toka zamani ndio wana nafasikawe ni pagumu kwelikweli
Mwenda upepo Upo kajipangaHuyo mama akipita... Halima atamgararagaza
Vp mwenda upepo ukoje
Ova
Huhuhuhuh waleleeeeeeeeeeeeeh, poleeeeeeeh hebu kuwa bizze na mchakato wa uchaguzi, weee naeeh lolHapo sasa yaani unazidi kunichanganya..
Na ndio nachosubiri kuona kibamba n nan na nan? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kibamba waliotia nia ni nani na nani, mbona kama tumetelekezwa.
Daaah basi huyo Rais anamatatizo nayeye,asiye angalia shida za wananchi bali nani anaye m convincekati ya makonda na ndungulile ni nani ambae ana ushawishi wa kumwambia rais anahitaji maendeleo flani kwenye jimbo na akasikilizwa? kwa kifupi kati ya watu hawa wawili nani ana convinvicing power kwa rais. tunapiga kura lakini the ultimate goal ni kupata maendeleo na si kukomoana na nongwa. Hebu tuangalieni ultimate goal ya kumchagua mtu na tuweke pembeni mambo mengine.
Mwenda upepo Upo kajipanga
Tatizo Angela nae kajipanga ila tusubiri tuone
Mpaka sasa kwenye kuhesabu kawe ni Gwajima vs Angela Kiziga ndio mpambano unaoendelea. Mmoja wao hawa anachukua
Yeah hii nayo list ila Furaha anaweza kushangaa piaAnjela
Furaha
Ben sita
Halafu David Callington Kayuni ni bwana mdogo mmoja sema akili kubwaaz u know. Halafu mtu honesty Sana mpaka kwenye kuongeza kanyookaTena ndo anawakimbiza balaaaa, alaf kuna mjuba anaitwa David Kayuni naye hatari.
Ila mama yetu Angela charles Kiziga anawapiga counter attack Ya kufa mtu.
Ndio mtafanikiwa? Maana watu wanaangalia chama kinachowaletea maendeleo. Sio utapeli na kugawana ruzuku.Nani alikwambia CHADEMA ina hali mbaya kisiasa? Tunamwomba mwenyekiti wenu hivi hivi alivyoanzisha kura za uwazi iwe hivyo na uchaguzi mkuu, tuone kidume ni nani!
Naomba ninavyo hisi isiwe hivyo..🙈🙈🙈🙈Huhuhuhuh waleleeeeeeeeeeeeeh, poleeeeeeeh hebu kuwa bizze na mchakato wa uchaguzi, weee naeeh lol
Hizi akili za mwaka 47 ndizo zinafanya ccm iendelee kutusomesha namba za kila lugha!kati ya makonda na ndungulile ni nani ambae ana ushawishi wa kumwambia rais anahitaji maendeleo flani kwenye jimbo na akasikilizwa? kwa kifupi kati ya watu hawa wawili nani ana convinvicing power kwa rais. tunapiga kura lakini the ultimate goal ni kupata maendeleo na si kukomoana na nongwa. Hebu tuangalieni ultimate goal ya kumchagua mtu na tuweke pembeni mambo mengine.
Haya relaaaaaaaax,Naomba ninavyo hisi isiwe hivyo..[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]