Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Mpaka sasa kwenye kuhesabu kawe ni Gwajima vs Angela Kiziga ndio mpambano unaoendelea. Mmoja wao hawa anachukua
 
kati ya makonda na ndungulile ni nani ambae ana ushawishi wa kumwambia rais anahitaji maendeleo flani kwenye jimbo na akasikilizwa? kwa kifupi kati ya watu hawa wawili nani ana convinvicing power kwa rais. tunapiga kura lakini the ultimate goal ni kupata maendeleo na si kukomoana na nongwa. Hebu tuangalieni ultimate goal ya kumchagua mtu na tuweke pembeni mambo mengine.
Daaah basi huyo Rais anamatatizo nayeye,asiye angalia shida za wananchi bali nani anaye m convince

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Tena ndo anawakimbiza balaaaa, alaf kuna mjuba anaitwa David Kayuni naye hatari.

Ila mama yetu Angela charles Kiziga anawapiga counter attack Ya kufa mtu.
Halafu David Callington Kayuni ni bwana mdogo mmoja sema akili kubwaaz u know. Halafu mtu honesty Sana mpaka kwenye kuongeza kanyooka
 
Nani alikwambia CHADEMA ina hali mbaya kisiasa? Tunamwomba mwenyekiti wenu hivi hivi alivyoanzisha kura za uwazi iwe hivyo na uchaguzi mkuu, tuone kidume ni nani!
Ndio mtafanikiwa? Maana watu wanaangalia chama kinachowaletea maendeleo. Sio utapeli na kugawana ruzuku.
 
kati ya makonda na ndungulile ni nani ambae ana ushawishi wa kumwambia rais anahitaji maendeleo flani kwenye jimbo na akasikilizwa? kwa kifupi kati ya watu hawa wawili nani ana convinvicing power kwa rais. tunapiga kura lakini the ultimate goal ni kupata maendeleo na si kukomoana na nongwa. Hebu tuangalieni ultimate goal ya kumchagua mtu na tuweke pembeni mambo mengine.
Hizi akili za mwaka 47 ndizo zinafanya ccm iendelee kutusomesha namba za kila lugha!

Ina haja gani ya kufanya chaguzi sasa kama sifa kuu ya mbunge mleta maendeleo ni ukaribu na rais? Angeachiwa tu awe anateua awatakao sasa! Pole kwa kichapo cha bashite
 
Back
Top Bottom