We chizi Nini?Ila Yule mdada ni kifaa aisee hata Mimi ningekua bungeni ningepigana nimpate nimfokonyoe
Mrembo halafu ana shepu matata
Mtam kuanzia machoni nitaanza kumtembelea kwake mheshimiwa mbunge
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
ATAWATAFUNA KWANZA
Adi rahaMnafki yule Mashinji kaambulia kura 2
Gwajima kwiiishaaa kama ndugu yake BashiteHuyo Gwajima chadema wangetumia mkanda wake wa ngono kumchafua bora huyo furaha anaweza msumbua Mdee.
If so bas ngoma droo. Makonda vs GwajimaKawe
Angela 85
Gwajima 79
Gwaji boy kajitahidi si mwanasiasa amemkalisha sitta na wengine kama yule mzee Kada wa zaidi ya miaka 20
Mkoa wa Kigoma
Kigoma Mjini
Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Mhuza 10
Alafu wajinga wanamfata awaombee wapate promotion kazini,
yeye mwenyewe kashindwa kujipromote.
Ainaga tena ladha iyo imeishaMsicheke wala kuhuzunika kiasi ya kusahau kuwa majina yanasonga kwenye kamati za juu ni matatu(3).
Usije ukaisahau nguvu ya 3, Yesu alifufuka siku ya 3.
Amini kuna maajabu yatatokea kwenye yale majina matatu ni vyema kuwa na subira na kutunza maneno.
Umempima kwa kipimo gani kujua ni fake
Rekebisha namba Saba sio Lusinde ni SilindeWaliodondokea pua jana na leo
Dk Issac wa Clouds Chalii Ubungo
Mwijaku kura 0 Chalii Kawe
Pascal Mayalla kura 1 Kawe mwa Jf mwenzetu
Dk Mashinji kura 2 Kawe
Askofu Gwajima 79 Kawe
Lijuakali Kilombero kura 5
Lusinde Chaliii Tumduma
Dk Mwakyembe mwenye digrii 4 ( mzee ana dharau huyu kawakejeli wajumbe wameishia la saba) chalii kura 256, wa kwanza kura 750, Kyela
Zamaradi kura 2 Kinondoni
Kalapina kura 1 Kinondoni
Makonda Kigamboni Chalii
Kitwanga katwanga na Mnyeti huko Misungwi
Steve Nyerere Chali Iringa mjini kura 6
Mtulia Chali Kinondoni kura 11
Nassari chalii Arumeru Mashariki kura 22
Mpoki 0 Kigamboni
Lazaro chalii Arusha mjini
Bado sijapata ya
Mc Pilipili
Babu Tale
NB: Wale waliotoka upinzani na kuunga mkono juhudi wote wamedondokea pua [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli lakini Sio Generally; Kuna factor zinazoangaliwa kwenye Mabadiliko huko kamati kuuAmini kuna maajabu yatatokea kwenye yale majina matatu ni vyema kuwa na subira na kutunza maneno.
Kondoo ni kondoo tu na sijui hua wanalishwa nini ata wamfumanie guest house na mtoto wa shule ya msingi huwaambii kitu wakakuelewa.ATAWATAFUNA KWANZA