Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Mkoa wa Kigoma

Kigoma Mjini


Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Mhuza 10
Naomba nitoe neno:
Itakapoketi Kamati kuu, Uncle Eng James Nyabakari atapitishwa.
Reason: Tanroads' breed (Eng Kijazi, Eng Mfugale, Eng Kakoko, Eng Nditiye........ Kitchen cabinet ya 'HUYU')!
Dominus Vobis..
 
Kondoo ni kondoo tu na sijui hua wanalishwa nini ata wamfumanie guest house na mtoto wa shule ya msingi huwaambii kitu wakakuelewa
Unawakumbuka wale waliokua wanalala airport wakiamini wanaweza kwenda ulaya kwa ndege bila passport wala ticket.
Hivi walienda kweli
 
Itategemea bwana yule ameamkaje siku hyo.
Mimi namwaminia Magu angalau kwenye mchakato huu ametenda haki na kutimiza wajibu.
Hii ni hatuna ya awali. Akikoroga huko mbele kwenye hatuna zinazofuata hakuna wa kumsamehe.
 
1. Kiherehere chako cha kila mara na Kiburi chako cha Asili ama hakika Kimekuponza na Wengine wajifunze kutoka Kwako.
2. Ulishindwa kujua kuna tofauti kubwa kati ya kuwa Jamihi Fworumu Pulatinamu Memba na Kuaminiwa na Wapiga Kura Ukumbini.
3. Mtu hujawahi hata kuwa Mjumbe wa Nyumba 10 achilia mbali tu Udiwani leo unalitaka Jimbo la ' Cow Way ' kweli?
4. Siku zote hasa Jumamosi unaonekana sana Runingani ila hujawahi hata Kuizungumzia ' Cow Way ' yako unayoitaka.
5. Wapiga Kura wa Jimbo la ' Cow Way ' walitaka Mshindani wa Kweli na hasa lakini siyo ' Mnafiki ' uliyetukuka kabisa.
6. Watu Werevu duniani wakienda Kuogelea Kwanza huwa wanapima Kina cha Mto au Bahari na hawakurupuki tu Kipuuzi
7. Mtu mzima tena mwenye Familia na Wajukuu wako njiani kupata Kura Moja ( Moko ) tena yako Mwenyewe ni Fedheha mno.

Asanteni sana Wapiga Kura wote wa Jimbo la ' Cow Way ' kwa kuwa ' Makauzu ' hasa na hata hamjapoteza muda Wenu Kumpigia Mtu Kura zenu.
Hii ni spana kwa Mayalla sio.
 
Mkoa wa Kigoma

Kigoma Mjini

Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Mhuza 10

Buhigwe (Manyovu)
Dr. Philip Isidor Mpango 297
Albert Ntabaliba Obama 76

Kigoma Kaskazini
Peter Serukamba 261
Asa Makanike 81
Suleiman Hanzuruni 51

Kasulu Vijijini
Augustine Vuma 266 (alikuwa mbunge anayemaliza muda wake)
Agripina Buyogera 97
Samson F. Kabogo 70
Betola Juma Kulikiza 46
Emanuel T. Msasa 26
Yona P. Msongwa 21
Adam P. Mkuyu 20
Prof. Hudson Nkotagu 18
Leonard L. Nyanzira 11
Gibson Bunyaga 10

Kwa hiyo Augustine Vuma ameongoza kutetea Ubunge katika Jimbo aliloliwakilisha.

Buyungu
Kamamba 50
Msakila 47
Gwegenyeza 44
Eng. C. Chiza 33
Eliya 13

Kwa hiyo Eng. Christopher Chiza ameshika nafasi ya 4 kwenye Jimbo alilokuwa mbunge
 
Waliodondokea pua jana na leo

Dk Issac wa Clouds Chalii Ubungo
Mwijaku kura 0 Chalii Kawe
Pascal Mayalla kura 1 Kawe mwa Jf mwenzetu
Dk Mashinji kura 2 Kawe
Askofu Gwajima 79 Kawe
Lijuakali Kilombero kura 5
Silinde Chaliii Tumduma
Dk Mwakyembe mwenye digrii 4 ( mzee ana dharau huyu kawakejeli wajumbe wameishia la saba) chalii kura 256, wa kwanza kura 750, Kyela
Zamaradi kura 2 Kinondoni
Kalapina kura 1 Kinondoni
Makonda Kigamboni Chalii
Kitwanga katwanga na Mnyeti huko Misungwi
Steve Nyerere Chali Iringa mjini kura 6
Mtulia Chali Kinondoni kura 11
Nassari chalii Arumeru Mashariki kura 22
Mpoki 0 Kigamboni
Lazaro chalii Arusha mjini


Bado sijapata ya
Mc Pilipili
Babu Tale

NB: Wale waliotoka upinzani na kuunga mkono juhudi wote wamedondokea pua [emoji23][emoji23][emoji23]
Bado mwita waitara jamaniiih
 
2462218_Edc-TIXXkAM3LJs.jpg


Amka wewe mtumishi FAKE wa mungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Abdul Nondo atajipigia tu mapema.

Siasa za Kigoma Mjini ni za kiswahili na mjuano. Huyu Engineer itabidi aweke usomi pembeni ili awezane na wa kigoma. Kingine wasomi si waongeaji Kigoma wanapenda Siasa za majukwaani.
Naomba nitoe neno:
Itakapoketi Kamati kuu, Uncle Eng James Nyabakari atapitishwa.
Reason: Tanroads' breed (Eng Kijazi, Eng Mfugale, Eng Kakoko, Eng Nditiye........ Kitchen cabinet ya 'HUYU')!
Dominus Vobis..
 
Back
Top Bottom