Kijana wa KiumeHuyu Furaha yuko vzr
Wajumbe hata instagram na youtube hawazijui.Dr Mwaka hahahaaaaa watu maarufu wote wanapigwa spana tu
Na ndio ilikuwa dhamira yake wanakariri siku zote JPM ataangali walioshindwa kura za maoni awateue u DC nkAnataka tu uteuzi
Naomba nitoe neno:Mkoa wa Kigoma
Kigoma Mjini
Kirunde Shaban Ng'enda 218
Juma Juma Mwaka 44
Eng. James Nyabakari 37
Juma Musa Kamange 26
Maulid Mkondo 17
Dr. Ahmed Nsovu 17
Shaban S. Hamim 11
Benedict Sindagi 10
Baruan Abdallah Mhuza 10
Hivi walienda kweliKondoo ni kondoo tu na sijui hua wanalishwa nini ata wamfumanie guest house na mtoto wa shule ya msingi huwaambii kitu wakakuelewa
Unawakumbuka wale waliokua wanalala airport wakiamini wanaweza kwenda ulaya kwa ndege bila passport wala ticket.
Mimi namwaminia Magu angalau kwenye mchakato huu ametenda haki na kutimiza wajibu.Itategemea bwana yule ameamkaje siku hyo.
Hii ni spana kwa Mayalla sio.1. Kiherehere chako cha kila mara na Kiburi chako cha Asili ama hakika Kimekuponza na Wengine wajifunze kutoka Kwako.
2. Ulishindwa kujua kuna tofauti kubwa kati ya kuwa Jamihi Fworumu Pulatinamu Memba na Kuaminiwa na Wapiga Kura Ukumbini.
3. Mtu hujawahi hata kuwa Mjumbe wa Nyumba 10 achilia mbali tu Udiwani leo unalitaka Jimbo la ' Cow Way ' kweli?
4. Siku zote hasa Jumamosi unaonekana sana Runingani ila hujawahi hata Kuizungumzia ' Cow Way ' yako unayoitaka.
5. Wapiga Kura wa Jimbo la ' Cow Way ' walitaka Mshindani wa Kweli na hasa lakini siyo ' Mnafiki ' uliyetukuka kabisa.
6. Watu Werevu duniani wakienda Kuogelea Kwanza huwa wanapima Kina cha Mto au Bahari na hawakurupuki tu Kipuuzi
7. Mtu mzima tena mwenye Familia na Wajukuu wako njiani kupata Kura Moja ( Moko ) tena yako Mwenyewe ni Fedheha mno.
Asanteni sana Wapiga Kura wote wa Jimbo la ' Cow Way ' kwa kuwa ' Makauzu ' hasa na hata hamjapoteza muda Wenu Kumpigia Mtu Kura zenu.
Maige chaliiii?🤣🤣🤣Shinyanga
Jimbo la Msalala
IDD 327,√
MAIGE 118,
MGEJA 75,
MAHONA 53
Woyooooooooooooooooh
Ni handsome jomoneeeeeh afu damu changa uwiiiiiiiiiiih [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Huyu ndo Komredi Furaha DOMINICK JACOB
View attachment 1512845
Sure. Hata umeya ilitumika mbeleko ya mitiSitta angeenda urambo!
Uwiiiiiiiiih maige chaliiiiiiiihShinyanga
Jimbo la Msalala
IDD 327,√
MAIGE 118,
MGEJA 75,
MAHONA 53
SeenJimbo la KAWE:
1- Furaha Dominic Jacobo: 101✔
2- Angela Charles Kiziga: 85
3- Josephat Gwajima: 79
4- Benjamini Sitta: 61
Dkt Vicent Mashinji amepata kura 2
Kippi Warioba kura 3
Bado mwita waitara jamaniiihWaliodondokea pua jana na leo
Dk Issac wa Clouds Chalii Ubungo
Mwijaku kura 0 Chalii Kawe
Pascal Mayalla kura 1 Kawe mwa Jf mwenzetu
Dk Mashinji kura 2 Kawe
Askofu Gwajima 79 Kawe
Lijuakali Kilombero kura 5
Silinde Chaliii Tumduma
Dk Mwakyembe mwenye digrii 4 ( mzee ana dharau huyu kawakejeli wajumbe wameishia la saba) chalii kura 256, wa kwanza kura 750, Kyela
Zamaradi kura 2 Kinondoni
Kalapina kura 1 Kinondoni
Makonda Kigamboni Chalii
Kitwanga katwanga na Mnyeti huko Misungwi
Steve Nyerere Chali Iringa mjini kura 6
Mtulia Chali Kinondoni kura 11
Nassari chalii Arumeru Mashariki kura 22
Mpoki 0 Kigamboni
Lazaro chalii Arusha mjini
Bado sijapata ya
Mc Pilipili
Babu Tale
NB: Wale waliotoka upinzani na kuunga mkono juhudi wote wamedondokea pua [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amka wewe mtumishi FAKE wa mungu.
Naomba nitoe neno:
Itakapoketi Kamati kuu, Uncle Eng James Nyabakari atapitishwa.
Reason: Tanroads' breed (Eng Kijazi, Eng Mfugale, Eng Kakoko, Eng Nditiye........ Kitchen cabinet ya 'HUYU')!
Dominus Vobis..
Ni handsome jomoneeeeeh afu damu changa uwiiiiiiiiiiih [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Kumbe ni msomi huyu kijana uwiiiiiiih, lolKiboko ya Askofu Gwajima
View attachment 1512884