Mmh,kapenyaje huyu[emoji23][emoji23]Mwita Waitara ana kibarua pevu sana hapo Tarime vijijini, yetu macho na masikio. Hilo jimbo naona kama CCM hawana interest nalo sana!!
Tanga Mjini
Ummy Mwalimu 783
Omar Ahmed Ayoub 41
Juma Shaaban Kimwaga 33
Ndio tena juzijuzi tu hapa...Hivi huyu nae aliunga Juhudi!??
Ni Mr Maboto
Ambaye serikali inaingiza asilimia kumi ya mishahara ya wafanyakazi kwenye account yake. Anaukwasi sio wa taifa hili.
Ambaye amekuwa analalamikiwa na watumishi kuwashikilia kwenye taasisi yake kwa mbinu zote ama kuwaachilia kwa masharti yanayo waumiza.
Anaye cheza vema na fursa hii ya fedha kichere kwa watumishi wa Umma kutunisha mfuko wake.
Ilikuwa Ni kama kumsukuma Mlevi ambapo amemdurusha mzee huyu kwenye ukumbi wa kupigia kura.
View attachment 1513086
Mtoto wa Stephen Wasira akisaini matokeo ya ubunge ya mzee wake baada ya mzee huyu kukimbia ukumbini kabla ya matokeo kutangazwa

Haki yao kikatibaKapuya ana kidemu kikali aiseee.
Nimekumbuka hicho tu wakuu.
Asante kwa taarifa!*Kura za maoni Sengerema*
Tabasamu 335,
Ngeleja 120,
Tano 105,
Joshua 78,
Annaclare Shija 36.
Sisi tunavizia Jimbo la mke na sio la bungeniHaki yao kikatiba
KALIUA TOWN
01.BITALIBUBE BENJAMIN STEPHEN 01
02.KAMKONO ZAWADI HAMADI 02
03.KAPUFI MOHAMMED ALLY 07
04.KAPUYA ATHUMANI JUMA 217
05.KATUNDU MANGASINI ATANASI 22
06.KUCHEBA LEONARD SIXBERTY 06
07.KILATU DENIS LONGINO 71
08.KINYEGA JOYCE SPRINGI 03
09.KWEZI ALOYCE ANDREW 209
10.LUFUTA CHAGU MATHIAS 02.
11.LYOBA CEFACE JOHN 08
12.MATABULA IMANI MOSHI 17
13.MUSSA ISMAILI KALELANDA 0
14. SELEMAN SELEMAN OMARY 0
15.SITTA JUVENARY SAMWELI 0
WASHINDI TATU BORA
(1)KAPUYA ATHUMANI JUMA 217
(2)KWEZI ALOYCE ANDREW 209
(3)KILATU DENIS LONGINO 71
Wajumbe wote hupewa rushwa.sio Dar mpk manyovu.Yaani wajumbe wamikoani sijui mmepatwa na njaa gani?.