Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Atasema ameibiwa tena kama 2015
Ni Mr Maboto
Ambaye serikali inaingiza asilimia kumi ya mishahara ya wafanyakazi kwenye account yake. Anaukwasi sio wa taifa hili.

Ambaye amekuwa analalamikiwa na watumishi kuwashikilia kwenye taasisi yake kwa mbinu zote ama kuwaachilia kwa masharti yanayo waumiza.

Anaye cheza vema na fursa hii ya fedha kichere kwa watumishi wa Umma kutunisha mfuko wake.

Ilikuwa Ni kama kumsukuma Mlevi ambapo amemdurusha mzee huyu kwenye ukumbi wa kupigia kura.
View attachment 1513086
Mtoto wa Stephen Wasira akisaini matokeo ya ubunge ya mzee wake baada ya mzee huyu kukimbia ukumbini kabla ya matokeo kutangazwa
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wassira ana amini katika mahoka kuwa angeweza kushinda ! Mungu amshike mkono mzee wa watu
Ni Mr Maboto
Ambaye serikali inaingiza asilimia kumi ya mishahara ya wafanyakazi kwenye account yake. Anaukwasi sio wa taifa hili.

Ambaye amekuwa analalamikiwa na watumishi kuwashikilia kwenye taasisi yake kwa mbinu zote ama kuwaachilia kwa masharti yanayo waumiza.

Anaye cheza vema na fursa hii ya fedha kichere kwa watumishi wa Umma kutunisha mfuko wake.

Ilikuwa Ni kama kumsukuma Mlevi ambapo amemdurusha mzee huyu kwenye ukumbi wa kupigia kura.
View attachment 1513086
Mtoto wa Stephen Wasira akisaini matokeo ya ubunge ya mzee wake baada ya mzee huyu kukimbia ukumbini kabla ya matokeo kutangazwa
 
KALIUA TOWN

01.BITALIBUBE BENJAMIN STEPHEN 01
02.KAMKONO ZAWADI HAMADI 02
03.KAPUFI MOHAMMED ALLY 07
04.KAPUYA ATHUMANI JUMA 217
05.KATUNDU MANGASINI ATANASI 22
06.KUCHEBA LEONARD SIXBERTY 06
07.KILATU DENIS LONGINO 71
08.KINYEGA JOYCE SPRINGI 03
09.KWEZI ALOYCE ANDREW 209
10.LUFUTA CHAGU MATHIAS 02.
11.LYOBA CEFACE JOHN 08
12.MATABULA IMANI MOSHI 17
13.MUSSA ISMAILI KALELANDA 0
14. SELEMAN SELEMAN OMARY 0
15.SITTA JUVENARY SAMWELI 0

WASHINDI TATU BORA
(1)KAPUYA ATHUMANI JUMA 217

(2)KWEZI ALOYCE ANDREW 209

(3)KILATU DENIS LONGINO 71
 
Mtemi, lengo la muanzishaji wa uzi huu ni kutaka kupata "updates" kutoka sehemu mbalimbali. Ukiusoma vyema uzi huu, yeye hakuwa na muelekeo wa kutaka kuwa "subjective" ktk maudhui yake ya jumla.

Ni hakika yupo "objective" kabisa, na huku akitutaka sote tumpe habari za uhakika ili aendelee kuzifanyia kazi na kuweka mabadiliko ktk taarifa ambayo imekwisha tangulia kutolewa.
 
Duuh huyu mzee kapita
KALIUA TOWN

01.BITALIBUBE BENJAMIN STEPHEN 01
02.KAMKONO ZAWADI HAMADI 02
03.KAPUFI MOHAMMED ALLY 07
04.KAPUYA ATHUMANI JUMA 217
05.KATUNDU MANGASINI ATANASI 22
06.KUCHEBA LEONARD SIXBERTY 06
07.KILATU DENIS LONGINO 71
08.KINYEGA JOYCE SPRINGI 03
09.KWEZI ALOYCE ANDREW 209
10.LUFUTA CHAGU MATHIAS 02.
11.LYOBA CEFACE JOHN 08
12.MATABULA IMANI MOSHI 17
13.MUSSA ISMAILI KALELANDA 0
14. SELEMAN SELEMAN OMARY 0
15.SITTA JUVENARY SAMWELI 0

WASHINDI TATU BORA
(1)KAPUYA ATHUMANI JUMA 217

(2)KWEZI ALOYCE ANDREW 209

(3)KILATU DENIS LONGINO 71
 
Back
Top Bottom