Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Kigoma Mijini waislam ni wengi kwa maana hiyo wao ndiyo waamuzi wa nani awe mbunge.
Ni Kama Zanzibar. Pale Mkristo akigombea hawezi kushinda.
Kwa hiyo usitoe povu sana wakati mwenzako kasema ukweli
Acheni fikra za Kijinga hizo, Mbona Singida Mashariki (Wanyaturu) ambao ni Wazee wa kiislamu wengi tulikuwa tukimchagua Tundu Lissu (sio Musilamu)?