Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Kigoma Mijini waislam ni wengi kwa maana hiyo wao ndiyo waamuzi wa nani awe mbunge.
Ni Kama Zanzibar. Pale Mkristo akigombea hawezi kushinda.
Kwa hiyo usitoe povu sana wakati mwenzako kasema ukweli
Huyu mchange anatamaa kweli
2010 alikua Chadema
2015 alikua ACT
2020 CCM
Wapiga kura ni wajumbe wa jimbo husika, hamna mtia nia aliyepiga kura.hawa waliopata ziro maana yake hata mikono yao wenyewe imewasaliti?
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
Yule mzee niliomba Mungu asipite.Mtoto wa Stephen Wasira akisaini matokeo ya kura za maoni kwa niaba ya baba yake baada ya Wasira kuondoka eneo la mkutano kabla ya kutangazwa kwa matokeo.
ITV Tanzania
Na Kinachoniumiza zaidi GENTAMYCINE kuna wengine katika Akaunti zao za Benki ndani na nje ya Tanzania wana Pesa za Kula hadi Wakifariki.
Yule mzee niliomba Mungu asipite.
Kumbe dua zangu ni kali[emoji23]
Alishakua meya wa Ilala na wa jiji katika vipindi tofauti wakati wa tenure ya JK.Ushaur wangu kabla ujatangazania hakikisha ulishawai kuwa ata kiongozi wa vijana wa chama usika angalau ata ngazi ya kata ama tarafa. Sio unakurupuka wakat wanachama hawajawai kuona matunda yako ya uongozi katika ngazi yeyote ya chama
Kama watafanya figisu ya kumuibia Sugu kura ili wampitishe mtu wao, timbwili litakalotokea hapo Mbeya mjini itabidi marehemu wafufuke!! Serikali inabidi iwe makini Banyambala sio watu wa mchezo!!Sugu kushinda hilo liko wazi kabisa mkuu, nimesema yawezekana atakayetangazwa ni Dr Tulia. Soma vizuri mkuu na hapo ndo maana nikasema lazima figisu ya maana ifanyike. Sugu alitutesa sana timu Shitambala 2015, this time Tulia ana mkono toka juu na hapo ndio mwanzo wa sintofahamu.
Wewe ni muongo balaa, huyo Jeetu Patel aliyekimbia nchi ni wako wa kuchonga; mwenyewe Jeetu halisi yuko kajaa nyumbani kwake karibu na Yatch Club!!!Jitu Patel ni mtu mwingine na alishakimbia nchi nadhani ni wanted kwa zile tenda zake za Jeshi
Huyu wa babati ni Jitu Faraar Vraijalal Soni
Sijui hilo la Patel umelitoa wapi mkuu
Huyu aliyepata kura 375 ni naniUbungo - Kura 375
Prof. Kitila Mkumbo - 172
Bi. Mwantum Mgonja - 73
YatajeKuna majimbo nami nayasubiri kwa shauku sana kujua CCM wanasimamisha wagombea wapi?
Udini udini.........Awali alikuwa agombe Kigoma mjini lakini akakimbilia Kasulu baada ya kuona jimbo hilo uamuzi wa kuwa mbunge huamliwa na wazee wa Ujiji ambao ni waislamu
Tumia lugha nzuri kufikisha hoja zako.Dogo usipende wenzako walishwe ban
Wewe ni muongo balaa, huyo Jeetu Patel aliyekimbia nchi ni wako wa kuchonga; mwenyewe Jeetu halisi yuko kajaa nyumbani kwake karibu na Yatch Club!!!
Huyu mwenye kura 823 ni naniSolwa - Kura 823
Ahamed Salum - 377
Azza Hilal Hamad - 304
Jeremia John Jiriri - 35
Hapa tunazungumzia Jeetu Patel sio hao unaowajua wewe. Ukitaka kumuona Jeetu nenda Kilosa kwenye mashamba yake!!Kama huelewi maana ya neno "nadhani" basi mie muongo.
BTW na Shailesh Vithlani nae karudi?? Una taarifa zake?