Hahahha... Ule uzi wa unaohusu kura za maoni huko chadema una karibia wiki 2 na una coment 440CCM inapendwa sana. Huu uzi unakimbia kwa spidi ya SGR
Certified liar!Makonda chaliii, Gwajima chalii, Kigwangala oyee, Bashe chaliii, Mnyeti chalii, Gambo oyee, Sendeka chaliii,
Kumbuka nafasi za ubunge wa Kuteua anazo 10 tu mkuu.Kuna wabunge wa kuteuliwa atamfikiria huyu mvuta bangi,Mtulia,Lijualikali,Waitara,Kalanga.
Wengine wanaweza kupewa ukatibu tawala au ukuu wa wilaya.
Nafikir wakishika nyadhifa hizo wasahau tena ubunge.
Inaonekana alipata zali tuHuyu Jamaa hamna kitu kabisa, ila imetokea tu kupendwa na wana-Kigamboni
Marcas ni mwonevu, hafai hata kuwa katibu kata. Marcas nilimkuta mahali ameonea mwananchi, waandishi wa habari waliokuwa wanafatilia tukio marcas aliwaambia atawatoboa macho. Tena hadharani akijitapa Hamna wa kimfanya kitu. Marcas hafai,,, watu wanauonaje ubunge???Hata matapta wanataka kwenda bungeni?? Daaah sijui nani ameondoa ''utakatifu'' wa bunge
Mungu wangu[emoji87]Kigamboni Makonda 316
Ndungulile 69
Kigamboni unaota wewe!Tulia makonda chalii Mtulia wako chalii , na bado mtasaga meno Leo.
Hakuna wakumtoa makonda pale ww
Asipopita natembea uchi posta mpaka mbezi
Yesu wake alikuwa wapi kumpa kura? uyo jamaa tapeli sana.Kawe Gwajima Kapigwa Chini
Jamaa alitembeza mlungula miaka miwili nyuma akishirikiana na mwenyekiti.na anayenunua chama mwaka 2015 alikuwa kampeni meja wa mwenyekiti huyo kugombea ubunge Jimbo la Moshi akakosa.sasa wamebadillisha karata kuwa aliyekuwa meneja kampeni Sasa apewa Jimbo na aliyekosa ubunge 2015 Sasa Ni mwenyekiti .chama kimenunuliwa na kitakaa mikononi mwa watu wawili.huko kigamboni bado wanaendelea kuhesabu Kura.Embu fafanunua vizuri Mkuu, Ukisemaccm imenunuliwa mahali fulani inanunuliawaje?
Certified liar!
🤣 🤣 🤣 🤣Mungu wangu[emoji87]
Tusubiri wamalizeTwitter waongo. Makonda atashinda.
Huku ule uzi wa kula tunda kimasihara ukiwa na comments maelfu.Hahahha... Ule uzi wa unaohusu kura za maoni huko chadema una karibia wiki 2 na una coment 440
Huu wa ccm ni wa leo kakini tayari coment ni 460