Maswi huyu baba yake Nickson ,mkazi wa Pugu Dsm.Hana lolote basi tu.
 
Matokeo jimbo la Ndanda Mtwara
Oscar Ng'itu - 250
Faraji Nandala - 154
Muhaji Hakimu - 73
Cecil Mwambe - 33
 
Sina ugomvi naye ila namfahamu siyo mtu wa kuwaongoza watu zaidi majivuno na kuongea maneno ya kuzodoa wengine Kama Magufuli.
Unajua kila binadamu ana mapungufu yake. Uzuri wake ni mtendaji na anaijua vizuri serikali. Ukiwapata watu aliowaongoza wizara ya fedha,tamisemi, nishati na Madini pamoja na mkoa Wa manyara watakwambia. Rais Magufuli ni mtendaji pia, ila kukuaibisha ni dkk o na maamuzi yake hayatabiriki.
 
Alisema kunyweni bia,barabara itawasaidia nini?
Kuna umuhimu Wa kuwa na mikataba ya utekelezaji Wa ahadi, muda mfupi, Wa kati na mrefu. Mtoa ahadi akishindwa kutekeleza ahadi zake ajiuzuru. Apewe mshindi Wa pili nae akishindwa apewe wa tatu. Nadhani watahofia kupoteza kibarua mwisho Wa siku watafanya kazi kuliko maneno
 
Naomba wakatwe walioshinda na mkutano mkuu ccm ili watu wapige kura upinzani kwa jaziba yaani
 
Kuna jamaa yangu alikuw anasali huko yeye na familia yake....ameamua kurudi LUTHERAN...Sababu za kulikacha kanisa LA gwajiboy hataki kuziweka hadharan...

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Jamani vip taarif za mgombea ubunge jimbo la sengerema mjini maana huko sijasikia lolote vipi kuhusu wiliam ngereja na skendo zake za rushwa Nasikia kuna dogo mmoja anaitwa Martin alikuwa anamnyima usingizi naomba kujua alietoboa kwa anaefaham
 

Naomba kuuliza masuali yafuatayo?

1. Kura hizi hupigwa na vipi na ni nani anastahiki kupiga?
2. Ni nani anaehesabu kura? maana kwa kuangalia tu hata mtoto mdogo atagundua kuwa jumla ya kura zilizopigwa hazilingani na kura walizopata wagombea. Kwa nini hazikuelezwa zilipokwenda kura nyengine? Au ndio ile kazi ya ku foji inaanzia ndani ya ccm kwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…