Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Bora ya hayo kwa kweli kuliko maisha yangu[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Uoga wako ndio............[emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ya hayo kwa kweli kuliko maisha yangu[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Uoga wako ndio............[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaaaaa! Tusiache au siyo waafrica tuko vzr.Wengine kwa staili hyo bora kushindwaMjomba Mrisho Mpoto alimuimbia Kikwete akamwambia
"Mjomba vibwaya usivitupe ghalani, vitakuja kukufaa/kuhitajika".
Mila haziepukiki, utamaduni wetu ni sehemu ya maisha yetu[emoji3][emoji3][emoji3]
ANGALIZO: Kwa kina dada inabidi muwe makini sana maana kuna wanaume wapo kwenye siasa huko tena vyama vyote wana take advantage ya uhitaji wenu wa kua Waheshimiwa Wabunge/Madiwanikuwaomba rushwa ya ngono
Usimpe moyo Waitara kaondoka na kundi la wazee wa kimila anazunguka nalo kwenye gari full anatupa mabomu kwa wenzie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umeona eeh! Ongeza speed
Mlimba kashinda nani ?Usimpe moyo Waitara kaondoka na kundi la wazee wa kimila anazunguka nalo kwenye gari full anatupa mabomu kwa wenzie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ht sijuiMlimba kashinda nani ?
Nimeona na kupata nyepesi nyepesi kuwa Umi Mwalim amekuwa wa kwanza kura za maoni.
Mungu amzidishie huyu mama kipindi cha COVID19 amepitia magumu mno
Wananchi wameliona hili nilishawahi kumsifia humu watu wengine wakabeza.
Huyu mama nampenda mno utendaji wake mwanangu ningekuwa na uwezo ningesimamia uwe waziri tena wa Afya.
Mkwe wangu(mumeo) amepata mke
😂😂😂Mollel ndo yule ana kichwa kama papai?
HahahahaUsimpe moyo Waitara kaondoka na kundi la wazee wa kimila anazunguka nalo kwenye gari full anatupa mabomu kwa wenzie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nimeona na kupata nyepesi nyepesi kuwa Umi Mwalim amekuwa wa kwanza kura za maoni.
Mungu amzidishie huyu mama kipindi cha COVID19 amepitia magumu mno
Wananchi wameliona hili nilishawahi kumsifia humu watu wengine wakabeza.
Huyu mama nampenda mno utendaji wake mwanangu ningekuwa na uwezo ningesimamia uwe waziri tena wa Afya.
Mkwe wangu(mumeo) amepata mke
Kuna haja gani yakuwa waziri alafu kila siku unakutana na maelekezo? Pakikucha tu inabidi usikilizie jamaa anataka nini😁😁Zamani uwaziri ilikuwa kazi ya kutamani.
Siku hizi kazi ya kutia huruma
Tandahimba kachukua Salum Twahir, Mbunge Katani Katani chaliNaomba Matokeo jimbo la ndanda.Tandahimba na Mtwara mjin wadau
HahahahaaaaaaaaaaaaaaHivyo ndivyo ilimpasa kufanya hivyo hamna jipya, zamani waligeuza uwaziri kuwa ulaji tu kwa sasa uwaziri ni utumishi na utekelezaji wa majukumu, angezembea aone kama angebaki kwenye hicho kiti!