Jamani vip taarif za mgombea ubunge jimbo la sengerema mjini maana huko sijasikia lolote vipi kuhusu wiliam ngereja na skendo zake za rushwa Nasikia kuna dogo mmoja anaitwa Martin alikuwa anamnyima usingizi naomba kujua alietoboa kwa anaefaham
Ngereja kaanguka chini puuuuuh, kifo cha mende [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadhani wanataka kutumia figisu kumpitisha ila kwa Mbeya patachimbika aisee hawa jamaa ni watata sana.
Hatuwezi kumpa ubunge akatunge sheria za kutukandamiza wananchi na kujipa yeye na viongozi wengine ruhusa ya kuvunja katiba ya nchi bila kushitakiwa.....
 
Umy Yuko vizuri kipindi Cha covid alipambana Hadi huruma huku wanaume wote wakawa wamekimbia wamejificha, she deserve kwa kweli
 
Jamani vip taarif za mgombea ubunge jimbo la sengerema mjini maana huko sijasikia lolote vipi kuhusu wiliam ngereja na skendo zake za rushwa Nasikia kuna dogo mmoja anaitwa Martin alikuwa anamnyima usingizi naomba kujua alietoboa kwa anaefaham
katoboa Tabasamu.
 
Hao wagombea wa ubunge wanateuliwa/kupigiwa kura na Mkutano mkuu wa CCM wa wilaya

Mkutano Mkuu wa CCM wa Wilaya utakuwa na wajumbe wafuatao:-
Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya, Katibu wa CCM wa Wilaya.
Mkuu wa Wilaya ambaye anatokana na CCM.
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Wilaya.
Katibu wa Uchumi na Fedha wa Wilaya,Wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa waliochaguliwa na Mkutano Mkuu wa CCM wa Wilaya hiyo.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Mkoa wanaoishi katika Wilaya hiyo.
Mwenyekiti na Katibu wa Wilaya wa kila jumuiya ya wananchi inayoongozwa au iliyojishirikisha na CCM, na mjumbe mwingine mmoja ambaye ni mwanachama wa CCM aliyechaguliwa na kila Jumuiya inayohusika iliyomo katika Wilaya hiyo.
Wajumbe wote ambao ni wanachama wa CCM,kila Jumuiya ya Wananchi inayoongozwa au iliyojishirikisha na CCM wanaowakilisha Jumuiya hizo katika Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa wanaoishi katika Wilaya hiyo.
Madiwani wanaotokana na CCM wanaowakilisha Kata/Wadi zilizomo katika Wilaya husika na Madiwani wa CCM wa aina nyingine wanaoishi katika Wilaya hiyo.
Makatibu wa Siasa na Uenezi wa Kata/Wadi za Wilaya
Makatibu wa Uchumi na Fedha wa Kata/Wadi za Wilaya hiyo.
Wajumbe kumi waliochaguliwa na kila Kata ya Wilaya hiyo.
Mjumbe mmoja aliyechaguliwa na Mkutano Mkuu wa kila Tawi la Wilaya hiyo.
Wenyeviti wote wa CCM wa Matawi katika Wilaya hiyo.
Makatibu wote wa CCM wa Matawi katika Wilaya hiyo.
Makatibu wa Siasa na Uenezi wote wa Matawi ya CCM yaliyomo katika Wilaya hiyo.
Makatibu wa Uchumi na Fedha wote wa Matawi yaliyomo katika Wilaya hiyo.
Wajumbe wengine wote wa Mkutano Mkuu wa Mkoa wanaoishi katika Wilaya hiyo.
Kwa Wilaya za Zanzibar, Wajumbe wengine wa Mkutano Mkuu wa Wilaya ni hawa wafuatao:-
- Wenyeviti na Makatibu wote wa CCM wa Majimbo.
- Makatibu wa Siasa na Uenezi wa Majimbo.
- Makatibu wa Uchumi na Fedha wa Majimbo.
Katiba ya Chama Cha Mapinduz - Wenyeviti na Makatibu wa Majimbo wa Jumuiya zinazoongozwa na CCM.
- Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya na Mkoa kupitia kila Jimbo linalohusika.
 
Rasimu ya katiba ya Warioba iliyaadress haya lakini ndo hivyo mchakato ukawa bahati mbaya.
 
Jamani vip taarif za mgombea ubunge jimbo la sengerema mjini maana huko sijasikia lolote vipi kuhusu wiliam ngereja na skendo zake za rushwa Nasikia kuna dogo mmoja anaitwa Martin alikuwa anamnyima usingizi naomba kujua alietoboa kwa anaefaham
Kashinda Hamis Tabasamu msaliti aliyehama Chadema.Ngeleja wa pili.
 
Binafsi Good luck Mlinga alishindwa kutambua kioichompeleka bungeni sasa wajumbe wakachoka na kuamua kumuonesha.Very good Wana Ulanga
 
Naomba unisaidie kujua hii
JUMLA YA WASALITI....
WASALITI WALIOPITA....
WASALITI WALIOPIGWA CHINI.....

Hao waliopita Mungu kaamua kuwapa adhabu kwa njia ya kura km kura zitahesabiwa wa uwazi km walivofanya kwenye kutafuta wagombea
 
Jimbo la mlimba ameshinda nani ?
Katika jimbo la Mlimba kulikuwa 39, Godwin Kunambi ameongoza kwa kupata kura 193, na alifungana na Rose Rwakatare aliyepata kura 193.

Pia katika uchaguzi huo Acrey Mhenga alipata kura 124 na Jane Mihanji amepata kura 14.
 
Mlimba ??

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…