Katika jimbo la Mlimba kulikuwa 39, Godwin Kunambi ameongoza kwa kupata kura 193, na alifungana na Rose Rwakatare aliyepata kura 193.

Pia katika uchaguzi huo Acrey Mhenga alipata kura 124 na Jane Mihanji amepata kura 14.
Huyo Kunambi ameacha u City Director kabisa,, atakakuta ka Suzana Kiwanga kamtemeshe mzigo tena!
 
Kama nimemsikiliza vizuri mr polepole
Yaani yakiyofanyika kuteua huko majimboni ni sawasawa na sifuri
Majina yataletwa chaguo la mkuru. Na hakuna kwenda nje ya ccm utadhibitiwa. No freedom at all. Ila wananchi watachagua kwa mhemuko wanayempenda
 
Eliya kapigwa chini. ...muunga mkono juhudi
 
Asante kwa kazi nzuri ya kujumuisha matokeo!
 
Wajumbe wapiga kura hawaelewiki. Wanaweza kukuaminisha unashinda, wakala pesa yako kumbe walishafanya maamuzi kumchagua mpinzani wako
Aseeh!wajumbe sio watu wazuri[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!Katani anajuta. Km nawaona wamakonde wanamchekaa

Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
 
Jambo zuri ni kuwa kati ya wabunge 264 wa kuchaguliwa 70, wameliwa vichwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wakaseme NDIOOOO nyumbani kwao
 
Mleta post kaitekeleza post yake,kura za maoni zimeisha siku ya 3 leo lkn bado nusu ya majimbo hujaripoti!
Kama hamuwezi kumaliza kazi msiwe mnafungua uzi bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…