Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Hakuna mhamiaji yoyote aliyeshinda kwenye kura za maoni za CCM kwenye chaguzi ndogo.
Kilichotokea ni hiki, mwanzoni walipoanza kuhamia kura za maoni zilifanyika na wote walishindwa vibaya sana, lakini wakuu wa CCM wakawateua hivyo hivyo. Baadaye wahamiaji walivyozidi kuhamia, Mwenyekiti wa CCM (Magufuli) akaamuru wawe wanapitishwa hivyo hivyo na kura za maoni zisifanyike kabisa.
Sasa kimbembe kipo muda huu, inaaminiwa hakuna msaliti hata mmoja atakayeweza kupenya wala kufurukuta kwenye kura za maoni, na huenda mbereko za mwenyekiti kuwabeba hazitakuwepo kwenye kuwateua kugombea.