Hakuna mhamiaji yoyote aliyeshinda kwenye kura za maoni za CCM kwenye chaguzi ndogo.

Kilichotokea ni hiki, mwanzoni walipoanza kuhamia kura za maoni zilifanyika na wote walishindwa vibaya sana, lakini wakuu wa CCM wakawateua hivyo hivyo. Baadaye wahamiaji walivyozidi kuhamia, Mwenyekiti wa CCM (Magufuli) akaamuru wawe wanapitishwa hivyo hivyo na kura za maoni zisifanyike kabisa.

Sasa kimbembe kipo muda huu, inaaminiwa hakuna msaliti hata mmoja atakayeweza kupenya wala kufurukuta kwenye kura za maoni, na huenda mbereko za mwenyekiti kuwabeba hazitakuwepo kwenye kuwateua kugombea.
 
Makonda anajua siasa. Kigamboni lazima ashinde jamaa alijipima kwenye mizani na alijua jimbo lipi atapita kirahisi.
mkuu kwa kauli yako, akishindwa ntaamini hakutumwa na mtu yoyote kugombea huko.
 
Wakuu wa Wilaya watarajiwa hao
 
tupo hapa kigamboni naona makonda yupo kwenye bufee anachukua tambi, samaki duh ila kaweka pilipili imejaa mpaka inamwagika kwenye shati, lakini cha ajabu analia kishenzi yani nadhani pilipili imemuingia machoni.
[emoji23][emoji23][emoji23] naendelea kusisitiza
Weka picha
 
Kila la Heri Waheshimiwa Paul makonda, Gambo, katambi Ole sendeka na Mwanri👏👏
Makonda unamwombea khere kwa lipi?
Kuvamia Clouds?
Ku tukana yule mama mjamzito na tumbo tumbo lake?
Kusema yeey ni kila kitu?
 
Makonda anajua siasa. Kigamboni lazima ashinde jamaa alijipima kwenye mizani na alijua jimbo lipi atapita kirahisi.
Unaongelea analytical intelligence. Kujipima kwenye mizani inahitaji analytical intellegence na mtu aliye-fail form IV manake ni zero kabisa akili za ku-analyze mambo. #Mkurupukaji
 
Hivi waliotia Nia Jimbo La Wanging’ombe Ni Akina Kuna Mbunge Wetu Mmoja Huyoo Ni Hovyooo Hatari
 
Mnapiga kura muda huu jukumu mlilo nalo kwa sasa ni kututhibitishia kuwa Makonda si lolote si chochote nje ya dhana ya kubebwa

Kubwa kabisa kumbukeni mateso ya watu,dharau kwa jamii na mwisho mkumbuke ni kijana wa 82 haridhiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…