Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Alikuwa anawasomesha mainjinia ETI SOMA HIYOOOO Leo kasomeshwa yeye na engineer nyambaafSiha Agrey Mwanry kaangushwa na Engineer[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli ngoja tujioneeTufanyeje mama?
Wao ndo wenye dola
Si mchezoMacho yote channel 10
😁😁😁😁Yes
Pole kwake
Ila Molel kapata za uso
Dea poleeeeeeeeeh tayari mtu kaliwa kichwaaaaaaaahJaman kura bado zinahesabiwa
Hiyo michango ya hiari ndo pesa nyingi kuliko hizo za fomu. Kila Jimbo Lina kiwango chake. Kuna majimbo kiwango kinafika Hadi laki tisaCCM imetengeneza 1,036,100,000 kupitia ada za fomu za ubunge na uwakilishi. kweli mwenye nacho huongezewa.
bado nasikia kuna michango mbalimbali isiyo rasmi wanatakiwa kulipia mbali na hiyo ada
Kule Moshi mjini Kura zinaendelea kuhesabiwa Ila tengemea Mr shayo us Mr priscus waliotoa rushwa watashindwa kwa kishindo Cha nguvu ya fedha.Hapo kigamboni pia Kura zinaendelea kuhesabiwa
Walitumia kura ya VETO kutoka CHATTLE.Nauliza tu kwa wale wataalamu wa sayansi ya siasa kwamba hawa wahamiaji waliotoka CHADEMA kwenda CCM walitumia mbinu gani wakati wa uchaguzi mdogo hadi wakawagaragaza vibaya washindani wao kutoka CCM?
Maendeleo hayana vyama!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zamaradi Alikua anadhani kina Juma Lokole ndio wapiga kura wake.
Bora lichotara limepigwa hayo machotara ndiyo yanakwamisha maendeleo ya nchi hii sababu ya urafi waoKUTOKA JIMBONI SIHA
1. Dr Godwin Mollel........... *58*
2. Justine Kweka *85*
3. Lameck Munuo... *91*
4.AGGREY MWANDRY... *151*
5.Eng.Betson Maimu.... *231*
Eng. Betson Maimu... [emoji3581][emoji3581][emoji3581]
Amebaki waitara keshoTayari kachinjwa yani wanaccm asilia wanakatia fensi inanyooookaaaaa
Nauliza tu kwa wale wataalamu wa sayansi ya siasa kwamba hawa wahamiaji waliotoka CHADEMA kwenda CCM walitumia mbinu gani wakati wa uchaguzi mdogo hadi wakawagaragaza vibaya washindani wao kutoka CCM?
Maendeleo hayana vyama!